Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,556 Reaction score 14,302 Jun 3, 2023 #21 Binafsi nmeanza kumsoma UMUGHAKA kisha Analyse Analyse nmemsoma Katika story moja tu ya juz juz akiitwa Apostle. Story hiyo ni Kali lakin haiifikii yeyote Kati ya zile tatu kali za UMUGHAKA Je Story Kali zaidi za Analyse ni zipi?
Binafsi nmeanza kumsoma UMUGHAKA kisha Analyse Analyse nmemsoma Katika story moja tu ya juz juz akiitwa Apostle. Story hiyo ni Kali lakin haiifikii yeyote Kati ya zile tatu kali za UMUGHAKA Je Story Kali zaidi za Analyse ni zipi?
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,946 Reaction score 45,572 Jun 3, 2023 #22 Kwani aliyechukua tuzo ya Mburudishaji bora alikuwa ni nani?? 😂 😂 😂 Tuanzie hapo kwanza
DIFFENDA Senior Member Joined Jun 23, 2013 Posts 124 Reaction score 53 Jun 3, 2023 Thread starter #23 Manyanza said: Kwani aliyechukua tuzo ya Mburudishaji bora alikuwa ni nani?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Mtag mkuup
Manyanza said: Kwani aliyechukua tuzo ya Mburudishaji bora alikuwa ni nani?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Mtag mkuup
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,226 Jun 3, 2023 #24 Analyse
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,120 Reaction score 4,849 Jun 4, 2023 #25 analyse mnyama
Shetta JF-Expert Member Joined Mar 15, 2023 Posts 445 Reaction score 798 Jun 5, 2023 #26 UMUGHAKA NI NOMAA
Skull dance JF-Expert Member Joined Mar 11, 2021 Posts 450 Reaction score 934 Jun 6, 2023 #27 Naomba simulizi za Analyse nizisome maana za UMUGHAKA zote nimeshazisoma nazifahamu