Umri wako unaweza hakikishwa kwa HESABU.

Umri wako unaweza hakikishwa kwa HESABU.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Chukua 259 zidisha kwa umri
wako, jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).
 
Chukua 259 zidisha kwa umri
wako,
jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).

sasa kama lengo ni kutafuta umri wako, mbona formula inataka ujue umri ndo uzidishe na hizo figures nyingine??

let umri wako ambao hauujui be X;
therefore formula itakuwa, X=259*X*39.

kajipange upya mkuu.
 
oooh it works , wonderful trick
 
Kama umri unao tayari, what are we trying to prove? Nilitamani hiyo formula itusaidie kutafuta umri wa mtu ambao haujulikani.
 
259x39=10101
kwa hiyo namba nyingi unazozidisha ni lazima utapata tarakimu 6 na ni lazima namba uliyo zidishia na 10101 ijionyeshe katika position ilipo 1
Nimejaribu namba 102 ambayo ni umri wa Nyanya angu imegoma
Chukua 259 zidisha kwa umri
wako, jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).
 
Mleta mada hajasema kutafuta umri, Mada iliyopo ni kuhakikisha umri (Uhakiki wa umri).
 
Chukua 259 zidisha kwa umri
wako, jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).

28 X 259 X 39 = 282828, jibu lake hilo

nini mantiki yake bado cjaona cha maana nilichojifunza!
 
t eh teh nashukuru kuijua jf kwa sababu zaidi ya Chuo kikuu au mossad na CIA
 
Chukua 259 zidisha kwa umri
wako, jibu utakalopata zidisha
kwa 39, utapata tarakimu sita,
katiaka kila tarakimu mbili
itaonyesha umri wako.
(Proches J, 2012).

Point of correction!: Hii arithmetic haiwezi na haina uwezo wa kuhakiki umri wa mtu. Kuhakiki ni ku-prove kitu kama kiko sahihi au la kwa kukipatia usahihi. Sasa kama mtu tayari unafahamu umri wako kinachofanya na arithmetic hii ni kuuonesha tu.
 
Point of correction!: Hii arithmetic haiwezi na haina uwezo wa kuhakiki umri wa mtu. Kuhakiki ni ku-prove kitu kama kiko sahihi au la kwa kukipatia usahihi. Sasa kama mtu tayari unafahamu umri wako kinachofanya na arithmetic hii ni kuuonesha tu.

das 4ril mzee
 
Back
Top Bottom