Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,005
- 6,709
Kuna matatizo ya Maadili.
Kuna matatizo ya mastaa wakubwa ambao wanafanya mambo ambayo siyo sawa.
Ni maradhi ya roho
Sisi hatujui kwa nini hawa watu wanafanya mambo haya ya kushangaza: na wao pia labda hawajui .
Hapa lazima tujiulize tuna uongozi wa namna gani sasa hivi.
Rais Ali Hassan Mwinyi( may his soul rest in peace) alikuwa anawaita watu Ikulu,anawaambia,"Wewe,nimekupa cheo kikubwa, lakini unafanya mambo ya ovyo,kwa nini?"
Lakini siku hizi,mtu anajulikana kwamba ni mhuni, lakini bado anapewa cheo kikubwa.
Nawalaumu viongozi wa Dini.
They are too busy predicting what is going to happen to Samia, and they are not doing any preaching.