G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,731
- 3,943
Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.
Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55.
Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka?
Ni swala la kutaka kujua mambo tu Nothing Personal.
Huyu Mwamba huwa namkubali sana toka Enzi za Katiba mpya akiwa na Mzee warioba na Joseph Butiku, huyu jamaa ana madini mengi kichwani ni mtu hasa.