Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

Biblia iliandikwa na watu tu, enzi za ujinga kabla watu hawajaaanza kugundua umri halisi wa dunia.

Hivyo ni wazi kuwa imebeba makosa yaliyotokana na ujinga wa enzi za uandishi wake.

Kila anayejua kufikiri ataona hilo, hata kama imani itamtaka alifumbie macho.

Sasa kama biblia imeandikwa na watu bila révélation ya mungu,kwa nini ifufue misukule?
 
Inafufuaje misukule?

Na kwa nini kinachoandikwa na watu kisiwe na uwezo wa kufufua walio katika hali tata?

Wahindi, Wachina na Wamisri wamefanya yote hayo kabla biblia haijaandikwa, biblia itakuwaje chanzo cha hayo?
 
Asante mpya yaja umenimaliza niliyotaka kuyasema hapo wanasayansi wanakataa hata kuwa hakuna MUNGU kila kitu ni nature tu sasa utawaamini vipi watu hao
 
Binadamu wanaweza kuwa waliishi miaka isiyozidi 20,000 . hii ukifanya makisio. Uzao umepangwa katika makundi matatu. Mwanzo 5 kuna vizazi vya adam kama 14 hivi,hawa jamaa kwa wastani walikua wakiishi miaka 500-600 hivo ukizidisha ni miaka kama 8500. Kundi lililofuata ni vizazi vya Nuhu ;Mwanzo 10,kama vizazi 10,hawa waliishi miaka 300 ivo itafikisha 3000. Kundi la 3 ni uzao Wa Ibrahim;Mathayo 1 ,vizazi 42 hawa waliishi wastani Wa miaka 80-100 ivo kama jumla miaka 4000. Kundi la mwisho ni sisi baada ya kristo takriban miaka 2000. Jumla ni miaka 17,500 basi ukijumlisha siku sita alizotumia uumbaji basi ni miaka 17,506. Haya ni makisio
 
Inafufuaje misukule?

Na kwa nini kinachoandikwa na watu kisiwe na uwezo wa kufufua walio katika hali tata?

Wahindi, Wachina na Wamisri wamefanya yote hayo kabla biblia haijaandikwa, biblia itakuwaje chanzo cha hayo?

Hakuna mtu aliefufua watu,isipokuwa watumishi Wa mungu Wa biblia
 
Hakuna mtu aliefufua watu,isipokuwa watumishi Wa mungu

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Your argument is circular.

In latin they call that "circulus in probando".

Nakuuliza uthibitishe kwamba mungu yupo, unaniambia mungu yupo kwa sababu watumishi wake wanafufua watu.

Ukishaenda kwenye kusema "watumishi wake" usharuka hatua ya kunionyesha kwamba yupo.

Unajuaje kwamba hao wanaofufua watu ni watumishi wa shetani na si wa mungu? Au hawafufui watu, wanawazindua tu kutoka near death experiences?
 
Latin ndo lugha ya wakatoliki ,na huko wanajua mungu anafufua,lakini mungu hatumuamini kwa kufufua kwanza Bali kwa uumbaji unaotuzunguka ulio programmed. Lakini injili inatushirikisha nguvu ya uumbaji tukitenda katika imani,hapo tunakuja kuelewa kumbe kweli vinavyoonekana viliumbwa na vitu visivyo dhahiri,ndio njia pekee ya kuprove. Hebrews 11:1-3
...by faith we understand...
Not by facts
 
Kama mungu ni muweza yote na ana upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika?
 
Na Mungu alitokea wapi?,kuna uhusiano wa mawingu na mbingu?,mbinguni ni wapi?,vipi kuhusu Mars,Neptune,Pluto ,Jupiter ziliumbwa kabla au baada ya dunia na kwenye maandiko yapi?

English iko limited, Mathayo 6: Yesu alisema baba yetu uliye mbinguni(auranus) ;hiyo ni greek translation ya hebrew ikimaanisha mbinguni,makao ya mungu na malaika,huo ni ulimwengu Wa roho.
Mwanzo 1:1 ..aliumba mbingu(shamayin) na dunia...
Shamayin pia ni greek lexicon from original hebrew,ikimaanisha anga au galaxy kama physical world,ikiwa na nyota na sayari zote.
 
Kama mungu ni muweza yote na ana upendo wote kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika?

Mungu hakutaka kutufuga kama bata,aliumba watu wenye utashi ili awe na wilfull communion. Ata wewe ungependa mwanamke aliyekupenda kati ya wanaume,kuliko yule anaekufuata kwa kuwa umempiga limbwata
 
Mungu hakuweza kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na binadamu anatumia utashi wake kuchagua mazuri tu?

Aliweza au hakuweza?
 
mabaya yanaweza kuwa machoni pako ila kwa mungu sio mabaya
kwa kuwa kuna watu wanafurahia vifo vya watu wengine wanachukia
iweje wewe na mungu muwe na mtazamo mmoja ??
 
mabaya yanaweza kuwa machoni pako ila kwa mungu sio mabaya
kwa kuwa kuba watu wanafurahia vifo vya watu wengine wanachukia
iweje wewe na mungu muwe na mtazamo mmoja ??

Kama si mabaya sasa kwa nini mungu anataka kuadhibu watu kwa kutenda dhambi?
 
Kama angefurahishwa na hilo,asingeumba binadamu Bali angebaki na wanyama tu wakaishi bila shida. Lakini alitaka kuumba Wa kufanana nae,apambane na matatizo na kuyatawala kama yéyé. Pia shetani alianguka huku kwa kujiinua,na mungu hawezi kupigana na shetani ni kujishushia hadhi Bali aliumba wanadamu wasio na uwezo Bali wamuaminio mungu asiyeonekana ata wakamuadhibu shetani,hii itamuuma zaidi kwa sababu shetani alishawahi kuishi mbinguni
 
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo
 
Back
Top Bottom