Bible ina walakini mkubwa...sehemu kubwa ya biblia ina stori za kujaribu kuimarisha imani tu za waamini..ila maneno ya mungu mwenyewe kwenye bible ni machache mno...sanasana zile amri 10, ile sauti wakati yesu anabatizwa..labda na mazungumzo ya mungu na adam na kidogo sana na musa.
Sasa kama Biblia imeandika hivyo tufuate lipi?
Siku ya kwanza-alitenganisha nuru na giza
siku ya nne-akaumba mianga miwili mikubwa(nyota na jua), swali la kujiuliza siku ya kwanza kilichotenganisha nuru na giza ni kitu gani?
Siku ya 6-akaumba mtu kwa mfano wake, meanamume na mwanamke
Siku ya 7 akapumzika!!
by stating so...... are you in the former(a) or the latter(b)...?
Mbona unaogopa kufikiria weye? Umekuja na madai, yasaidie kwa ushaidi. I mean huwezi sema Dunia ina Umri bila ya either umesikia sehemu sehemu au unafuata mkumbo wa wale wanao tumia akili za marehemu negative god. Which one are you?
Huyo anaongoza kwa flip flops, maana sasa anajijibu mwenyewe.Hahahaaaaaaaaa ....
Huyu mtu bado kidogo ataokota makopo badala ya kubeba box huko aliko
Na ikifikia huo muda atapata tabu sana maana huko makopo atayapata kwa taabu sana
CC: Ishmael , Mkuu wa chuo , Lisa Valentine , Kichwa Ndio Mtu , speedcom kaka km Stefano Mtangoo String Theorist @HINI , Monstgala ....!!
kwa iyo unaamini mungu hayupo je dunia iliumbwa na nani?Kwa.nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Most of those diabolicalians are schizophrenic.Du
Naona una vita kali na atheists
Punguza munkari brother jaribu kuwaelewesha
Brainless replyI took pains to explain
But still you remain
Unenlightened
With knots tightened
I fear, the idea of making it clear
Is sheer enablement of a dear lower gear
I categorically rejected this godhead, in the abstract
Not with metaphorically injected cataracts
What would you want me to do, dumb a Hegel?
A or b is for kindergarten, I'm a rebel.
kwa iyo unaamini mungu hayupo je dunia iliumbwa na nani?
Kwa nini unafikiri iliumbwa na fulani?
kwa nini isiumbwe ??
Swali limeuliza kwa nini unafikiri imeumbwa na fulani?
Comprehension please.
Hivi naombA niulize kitabu cha mwanzo aliandika nani?
Means alikuwa Amekaa na mungu af alikuwa anamuona mungu kwa hiyo mungu huyo yupo physical?
kwa nini isiumbwe na mungu ?
I took pains to explain
But still you remain
Unenlightened
With knots tightened
I fear, the idea of making it clear
Is sheer enablement of a dear lower gear
I categorically rejected this godhead, in the abstract
Not with metaphorically injected cataracts
What would you want me to do, dumb a Hegel?
A or b is for kindergarten, I'm a rebel.
Jamaa analekea kwenye Uwehu, mwishowe amekuwa kinyangarika guluguja...Hahahaaaaaaaaa ....
Huyu mtu bado kidogo ataokota makopo badala ya kubeba box huko aliko
Na ikifikia huo muda atapata tabu sana maana huko makopo atayapata kwa taabu sana
CC: Ishmael , Mkuu wa chuo , Lisa Valentine , Kichwa Ndio Mtu , speedcom kaka km Stefano Mtangoo String Theorist @HINI , Monstgala ....!!
kwanza mungu aliumba viumbe wenye uwezo wa maamuzi. hakuwaumba kama robot. pia akawapa miongozo na matokeo yake wasipofuata. story nzima inaanzia hapa, shetani akataka kuwa na mamlaka sawa na mungu. mungu hakutaka kumuua maana ingelleta mashaka pengine shetani alikuwa ana madai ya haki.Kwa.nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Kwa sababu hujathibitisha kwamba mungu yupo.
kwani hayupo ?