dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,700
- 9,850
Wengi tunajua kuwa akili inaundwa kipindi tupo kwenye matumbo ya mama zetu na inakuwa kamili tunapokuwa watu wazima ila kuna kitu kinaitwa genetic memory hizi ni kumbu kumbu ambazo anakuwa nazo binadamu ambazo zime tunzwa kwenye genes zake na zinasambazwa kutoka kizazi hiki kwenda kingine. Mzizi wa wazo hili upo kwenye nyanja tofauti kama vile pyschology, science fiction na pia scientific study kadhaa ingawa hakuna mtu halisi aliyekuja na wazo hili ila baadhi ya watu wakubwa kwenye nyanja za uvumbuzi wa kisayansi walileta mchango mkubwa kwenye kuliendeleza mtu kama Carl Jung
Kuna uchunguzi uliofanywa mwaka 2013 uliohusisha panya waliofunzwa kuogopa kemikali iliyoitwa Acetophenone ambayo inamchanganyiko wa matunda ya cheli na ulonzi { cherries,almonds } walifanya hivi kwa kuachia harufi muda mfupi baada ya kuwapiga shoti panya waliweza kujifunza kutambua alufu hiyo wakijua kuwa ikisikika harufu hyo basi wanakaribia kupigwa shoti ilifika kipindi wakaanza kuonyesha dalili za uoga pindi wasikiapo harufu hiyo cha kushangaza wanasayansi waligundua baada ya hao panya kupata watoto ikiwa kama vile walirithi hofu ya ile harufu ingawa hawajawi kuivuta harufu hiyo au kukutana nayo kizazi cha tatu cha panya tusime ni kama wijukuu wa panya nao waririthi ofu ya harufu hiyo ingawa nao hawajawahi kukutana na harufu hiyo hivyo inaonesha huenda harufu hiyo imerithishwa kwenye genes zao vizazi kwa vizazi. Uchunguzi kama huo ulifanya pia kwa wahanga wa tukio la holocaust ambapo kwa namna fulani stress walizopitia zimerithishwa kwa vizazi vyao. Uchunguzi huo ni hakika una ukosoaji swali kwa wengi ni kuwa kumbu kumbu hizi zinatunzwaje sababu inavyojilikana kumbu kumbu zinaundwa kupitia mtandao wa seli unaitwa neurons lakini wachunguzi wanavumbua aina nyingine ya kumbu kumbu inayotunzwa kwenye nyuklia ya hizi seli ndani ya DNA zetu, hii inavumbua swali kama ni kweli kuna kumbu kumbu zinatunzwa kwenye DNA zetu je ni aina gani ya genome ndo inahusika, sayansi haina jibu bado hatujajua kazi ya sehemu nyingi kweye genetic code zetu kuna takribani 20,000 mpaka 30,000 genes zinazotengeneza genome ya binadamu kwa zamani zilikuwa zikijulikana kama Junk DNA ila miongoni mwa hizi sehemu za hizo DNA huenda zikawa zinztunza Genetic Memory
Carl Jung mwanasaikolojia wa uswisi aliyezaliwa 26 July 1875 na kufa 6 June 1961 Carl jung alienda kutungeneza mbinu yake ya psycho analysis aliyoiita Analytichal psychology ambapo kabla yake mwana saikoloji Sigmund freud ni neurogist na mwazilisi wa psycho analysis kwamba akili ina conscious mind na uncoscious mind Jung na Freud walikuwa marafiki wazuri freud aliwahi kumuita Jung kama mwanaye wa kuasil aui mrithi wake kwenye psychology lakini ikawa tofauti baada ya Jung kuja na mbinu zake nyingine zinazopingana na mbinu za freud Jung alisema akili imeundwa na Conscious mind, Unconscious na seemu nyingine inayotunza kumbu kumbu za mababu zetu wa kale na aliipa jina la Collective Unconscious Freud alipinga na kusababisha kuwa na matabaka mawili ya psycho analysis