Umoja wa wanawake CCM wamuunga mkono Tendwa kufuta vyama vya siasa

UWT ni enzi zile wa wakina Bibi Titi, Sophia Kawawa, Lucy Lameck. Walionesha nafasi, heshma na utu wa mwanamke sio hawa wa siku hizi wamekazana kupaka wanja na kuota vitambi. Kila kukicha wako kwenye party hii mara ile wanakula vipapatikio vya kuku.

UWT hawana moral authority hata chembe ya kusema wanatetea wanawake (labda kama ni wao wenyewe wakubwa wa UWT). Nenda mahospitalini wamama wajawazito wamelala sakafuni tena kwa kubanana kama dagaa, UWT wao kimya wanakazana na lipstick!

TAMWA wanafanya kazi mara 100 ya kupigania wanawake kuliko hawa UWT. Mtu kama Sophia Simba si tu ni kiongozi wa UWT lakini pia ni waziri mwenye dhamana ya mambo ya wanawake na watoto. Hebu aseme amefanya nini kumuinua mwanamke wa kawaida kijijini? Kila siku anapita na shangigi pale kwenye viwanja wa Gymkana, yuko mama pale kazalia watoto chini ya mti wamefika 5 sasa. UWT!
 
chris_vomiting_colour_by_dman25666-d30q7d0.jpg

Mbona hueleweki mkuu? Hiki nini sas
 
Mwanzo nilidhani mauaji haya yanaongozwa na makundi yanayohasimiana ndani ya CCM yakichafuana na kuwaharibia wasaka Urais,sasa kwa tamko la Sofia Simba nimejua ni kwanini wahusika hawachukuliwi hatua. Kumbe ni amri toka Ikulu.

He! yamekuwa haya tena!
 
Hakuna wanachokifanya zaidi ya kutete uongo na kutumiwa kama daraja la wengine! Umoja usio ona maovu ya wakubwa wao na kuya kemea ni umoja gani,.

Yan anazani yeye anavyo danganywa kwa tishert na khanga za kijani basi anajua kila wanawake wana danganyika kama yeye.

Amesahau kuwa wanawake sikuhizi wamebadilika hawafati mkubo kama yeye anavyo endeleza style hiyo.

UWT ni enzi zile wa wakina Bibi Titi, Sophia Kawawa, Lucy Lameck. Walionesha nafasi, heshma na utu wa mwanamke sio hawa wa siku hizi wamekazana kupaka wanja na kuota vitambi. Kila kukicha wako kwenye party hii mara ile wanakula vipapatikio vya kuku.

UWT hawana moral authority hata chembe ya kusema wanatetea wanawake (labda kama ni wao wenyewe wakubwa wa UWT). Nenda mahospitalini wamama wajawazito wamelala sakafuni tena kwa kubanana kama dagaa, UWT wao kimya wanakazana na lipstick!

TAMWA wanafanya kazi mara 100 ya kupigania wanawake kuliko hawa UWT. Mtu kama Sophia Simba si tu ni kiongozi wa UWT lakini pia ni waziri mwenye dhamana ya mambo ya wanawake na watoto. Hebu aseme amefanya nini kumuinua mwanamke wa kawaida kijijini? Kila siku anapita na shangigi pale kwenye viwanja wa Gymkana, yuko mama pale kazalia watoto chini ya mti wamefika 5 sasa. UWT!
 
Hii mimama inayofata fweza itakuja umbuka cku yanashndwa kuwa wapiganaj WAUKWELI KAMA KAMANDA HALIMA MDEE YANAKAA KUVIZIA UVIT MALUM NA UKUU WA MIKOA NA WILAYA PUMBAVU. IPO SIKU WETHER UR IN UNFORM OR NOT.......UTAJIBIA
 
Kwa siasa za nchi hii, huyo nungayembe aliyesema hivyo next term utamuona ni mbunge viti maalum. Hawa wakinamama wajiheshimu angalau kidogo.

Kwa nini isifungiwe CCM yenye kuleta fujo za wazi na viashiria vya vurugu vinaonekana?

1. Sio hawa CCM walimuua katibu wao wa Mbeya kwa vinyongo vya kura za maoni?
2. Sio yule msomali wao alipanda jukwaani IGUNGA na bastola?
3. Sio Bashe na mwenzake sijui nani juzi tu hapa wameshikiana bastola wakigombea ulaji?

Lini na wapi alionekana kiongozi wa CDM na silaha hadharani? Huku ndio kufikiria kwa kutumia sehemu ya kukalia

Usisahau yule Meya wa mwanza ambaye anaozea rumande kwa tuhuma za kukodisha mtu aliyemchoma diwani wake kisu cha shingo. Sijui hiyo kesi inamuhusu nani huyo ambaye hawataki atajwe mahakamani.
 
Huyo kiongozi wao ana elimu gani? Au ndo ile sifa ya kupanga matusi jukwaani? Ile ya kina Lusinde

Hili ndo kosa linalishindikana kuliondoa huko CCM. Chama kizee kiasi hiki bado kinaongozwa na ufahamu mdogo kiasi hicho! Bahati mbaya kabisa idadi kubwa ya wasikilizaji sasa inakuwa ya kiwango cha elimu ya juu, sijui kama watapigiwa makofi tena
 
Maku za mbovu....wana***** ku** na kama wasira unategemea kichwani kuna kitu?magamba hovyo sana
 
lazima waseme hivyo.sababu chama chao kimebanwa mbavu na cdm so wanantafuta unafuu.
 
Back
Top Bottom