Umoja wa wanawake CCM wamuunga mkono Tendwa kufuta vyama vya siasa

NIlishangaa kuona huyo katibu mkuu anasoma speech ya kiswahili kama mtoto wa darasa la 4.
 
Hawa wamama ni mishangingi vistarehesho vya kina nanihii ni watundu sana wa kale kamchezo katamu katamu kama huyo wa ilala balaa naskia watu wanajilia sana(express yourself)
 
Nianze kwa masikitiko makubwa juu ya kauli iliyotolewa na umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi CCM kutishia kuwahimiza wanawake kususia vyama vya siasa vinavyochochea vurugu nchini na zaidi kuunga mkono hatua ya J.Tendwa ya kutishia kufuta vyama hivyo vya siasa hususani CHADEMA!
1.hii inaashiria kuwa umoja huu siyo huru kwani tamko lao linapindisha ukweli wa mambo juu ya anayehusika ktk hzi vurugu na kutaka kuaminisha watanzania kuwa mauaji haya yanasababishwa na CHADEMA
2.Tamko mlilotoa halina tofauti yoyote na yale yaliyotolewa na kina tendwa,nape,nchimbi,RPC kamuhanda na wengine wengi kabla ya kukamatwa kwa mtuhumiwa.
2.kuonesha kwamba hamfikirii tamko hili limetolewa baada ya kukamatwa mtuhumiwa.ni kwa nini msiidharau serikali ya ccm kwa mauaji hayo kusababishwa na vyombo inavyovsimamia.
4.ni kwa nini hajakamatwa kiongozi hata mmoja wa CHADEMA na kushtakiwa ktk hilo kama kweli walihusika?nilitegemea kuckia kuwa mtahimiza kina mama wenzenu kuiondoa hii serikali kwa kuwaulia watoto wenu mliowabeba kwenye matumbo yenu na mliowazaa kwa uchungu mkubwa bila hatia yoyote
4.Mnatakiwa kujua kwa hapa serikali ilipofika si kina mama,baba,vijana,watoto,wazee tu watawackiliza nyie.wanaona na kuckia uhuni unaofanywa na CCM Hivyo wenyewe wanapima na kuamua.POLENI SANA KWA JITIHADA HEWA MNAZOCHUKUA.MSIWE KAMA BENDERA KUFUATA UPEPO.UKWELI UTAWAWEKA HURU NA KUWAAMINISHA KWA WANANCHI.
 
Wanawake wa siku hizi ni wajanja mno tena hawadanganyiki kirahisi. Ngoja waje wenyewe wacoment juu ya tamko hili.
 
Hivi siku chama kingine kikishika dola nyie kina mama wa CCM mtaongea hivihivi au zitatumika sheria hizihizi mnazotumia nyie CCM?
 
Ukiwa ccm hata ukiwa na elimu kubwa unakuwa kama zezeta lengo mkono uende kinywani,yaani huyu anaongea kama vile hayuko tanzania na hajaona vumbi la m4c na v4c!!!!!!!!!!!!!
 
Hii inaonyesha pia jinsi watu wasivyothamini uhai wa mtu. Huwezi kutoa uhai wa mtu kwa sababu yoyote ile isipokuwa kama anahatarisha uhai wako na hivyo ukalazimika kujihami kwa kuwahi kumuua. Masikini Mwangosi alikuwa kazini na silaha yake (camera), anauwawa halafu watu wanatafuta visingizio vya kijinga na visivyokuwa na msingi!!! Hii inasikitisha sana!!! Mtu hata kama yuko chama cha siasa kisichokuwa chako ana haki ya kuishi!! Wanasiasa hawaui kwa nini wafe? Mwangosi kwanza hakuwa mwanasiasa alikuwa mwandishi!! Hawa wanawake wa CCM wanakera sana.
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi!

Hili limekuja baada ya kifo cha mwandishi wa habari huko iringa. Aliendelea kusema kuwa nchi nyingi zinapopata machafuko wanao athirika ni wanawake.

Pia alisema atahamasisha wanawake nchi nzima kukataa vyama vya upinzani vinavyo ichonganisha serikali na wananchi.

Hii inaonesha wazi ambavyo ccm inavyo endelea kujitoa kwenye kifo cha mwandishi na vurugu zinazo tokea kwenye mikutano ya CDM kila polisi wanapo linda.

Ikumbukwe kwamba serikali ya ccm imeonekana kuwa chanzo cha vurugu kwa kutumia polisi, polisi wanapo kaa pembeni hali huwaa shwari.

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika ukombozi lakini si kutumiwa na watu wachache.

Source: Star tv
 
Umenena vema! Kwanza wanaonekana kabisa wako nyuma kabisa kwani hakuna asiye jua kuwa ccm yao ndio inachochea vurugu na hasa kwa kipindi hiki bora wange kaa kimya kuliko kuonekana vituko.

Nianze kwa masikitiko makubwa juu ya kauli iliyotolewa na umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi CCM kutishia kuwahimiza wanawake kususia vyama vya siasa vinavyochochea vurugu nchini na zaidi kuunga mkono hatua ya J.Tendwa ya kutishia kufuta vyama hivyo vya siasa hususani CHADEMA!
1.hii inaashiria kuwa umoja huu siyo huru kwani tamko lao linapindisha ukweli wa mambo juu ya anayehusika ktk hzi vurugu na kutaka kuaminisha watanzania kuwa mauaji haya yanasababishwa na CHADEMA
2.Tamko mlilotoa halina tofauti yoyote na yale yaliyotolewa na kina tendwa,nape,nchimbi,RPC kamuhanda na wengine wengi kabla ya kukamatwa kwa mtuhumiwa.
2.kuonesha kwamba hamfikirii tamko hili limetolewa baada ya kukamatwa mtuhumiwa.ni kwa nini msiidharau serikali ya ccm kwa mauaji hayo kusababishwa na vyombo inavyovsimamia.
4.ni kwa nini hajakamatwa kiongozi hata mmoja wa CHADEMA na kushtakiwa ktk hilo kama kweli walihusika?nilitegemea kuckia kuwa mtahimiza kina mama wenzenu kuiondoa hii serikali kwa kuwaulia watoto wenu mliowabeba kwenye matumbo yenu na mliowazaa kwa uchungu mkubwa bila hatia yoyote
4.Mnatakiwa kujua kwa hapa serikali ilipofika si kina mama,baba,vijana,watoto,wazee tu watawackiliza nyie.wanaona na kuckia uhuni unaofanywa na CCM Hivyo wenyewe wanapima na kuamua.POLENI SANA KWA JITIHADA HEWA MNAZOCHUKUA.MSIWE KAMA BENDERA KUFUATA UPEPO.UKWELI UTAWAWEKA HURU NA KUWAAMINISHA KWA WANANCHI.
 
Hao ni wakuonea huruma maana hawajui walitendalo ni kufata mkumbo tu.

Hivi siku chama kingine kikishika dola nyie kina mama wa CCM mtaongea hivihivi au zitatumika sheria hizihizi mnazotumia nyie CCM?
 
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi!

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika ukombozi lakini si kutumiwa na watu wachache.

Source: Star tv

safi sana, chama nambari wani kinachofanya hii kitu bila longolongo ni CCM, kiwe cha kwanza kufutwa,
 
Hivi siku chama kingine kikishika dola nyie kina mama wa CCM mtaongea hivihivi au zitatumika sheria hizihizi mnazotumia nyie CCM?

too bad, yaani wamesahau kwamba hata huko kwa vyama vya upinzani kuna wanawake, tena wana chakarika mchana na usiku maskini kudai haki zao na watoto wao
 
Alaf cha kushangaza akasema ikitokea vita wanawake wanakuwa wa kwanza kupata shida, sasa nimejiuliza wapate shida mara ngapi wakati serikali ya ccm ina walaza chini ya sakafu mahospitalini, kila siku wanakufa kwa kukosa huduma mahospitalini lakini ameshindwa kutetea hilo sijui ni wanawake wananchi gani ana waongelea?

Ukiwa ccm hata ukiwa na elimu kubwa unakuwa kama zezeta lengo mkono uende kinywani,yaani huyu anaongea kama vile hayuko tanzania na hajaona vumbi la m4c na v4c!!!!!!!!!!!!!
 
Nilitegemea watachangisha pesa za kumsaidia mke wa marehemu na familia yake kumbe wao wanajali uhai wa ccm kuliko binadamu!
Hii inaonyesha pia jinsi watu wasivyothamini uhai wa mtu. Huwezi kutoa uhai wa mtu kwa sababu yoyote ile isipokuwa kama anahatarisha uhai wako na hivyo ukalazimika kujihami kwa kuwahi kumuua. Masikini Mwangosi alikuwa kazini na silaha yake (camera), anauwawa halafu watu wanatafuta visingizio vya kijinga na visivyokuwa na msingi!!! Hii inasikitisha sana!!! Mtu hata kama yuko chama cha siasa kisichokuwa chako ana haki ya kuishi!! Wanasiasa hawaui kwa nini wafe? Mwangosi kwanza hakuwa mwanasiasa alikuwa mwandishi!! Hawa wanawake wa CCM wanakera sana.
 
Aaaaaaaaaaaaaaaah! Kwakuwa ni wanawake wamesema mimi nawasamehe bure, kwani siku zote tumezoea pumba zao. Hawajui wanachokisema!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi!

Hili limekuja baada ya kifo cha mwandishi wa habari huko iringa. Aliendelea kusema kuwa nchi nyingi zinapopata machafuko wanao athirika ni wanawake.

Pia alisema atahamasisha wanawake nchi nzima kukataa vyama vya upinzani vinavyo ichonganisha serikali na wananchi.

Hii inaonesha wazi ambavyo ccm inavyo endelea kujitoa kwenye kifo cha mwandishi na vurugu zinazo tokea kwenye mikutano ya CDM kila polisi wanapo linda.

Ikumbukwe kwamba serikali ya ccm imeonekana kuwa chanzo cha vurugu kwa kutumia polisi, polisi wanapo kaa pembeni hali huwaa shwari.

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika ukombozi lakini si kutumiwa na watu wachache.

Source: Star tv

Huyo anatafuta kura kwa nguvu ameshaona uchaguzi huu atapigwa.

Anatafuta easy ride kwa mabosi wake.anadhani Tendwa anayo jeuri ya kuifuta CHADEMA? Hata yeye Mwenye binafsi anaujua ukweli huu kwamba akiifuta CCM nchi itatawalika lakini kuifuta CHADEMA ni something else.

Ana kiwewe cha uchaguzi wa ndani ya chama chake tu,anataka kuitumia kauli ya Tendwa ili aonekane jembe.Hajawahi kukemea hata siku moja unaynyasaji unaofanywa dhidi ya akina mama na dada zetu,anaibukia kauli ya tendwa !
 
Hao umoja wa Wanawake wanajua nini katika Tanzania? wana impact gani katika Maendeleo ya Tanzania, Je wana mchango gani katika kuleta Democrasia
Kama si kukaa tu na kusubiri kuletea
they are neither enovative nor creative
 
Back
Top Bottom