Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,864
- 41,237
Hapana Mkuu, sio mitano tena, NI MILELE DAIMA.Basi Mitano tena.
Ni kweli hii yote ni sababu ya umasikini na ufinyu wa maarifa ya kujipatia kipato vijana wengi wana hali ngumu sanaWanaume wasio na hela na akili ni janga lingine la taifa
Fanyeni kazi umaskini utawaua nyie. Badala muunde group mpeane ramani za hela mnajadili upuuzi. Mfyuuu
Wanaume wasio na hela na akili ni janga lingine la taifa
Fanyeni kazi umaskini utawaua nyie. Badala muunde group mpeane ramani za hela mnajadili upuuzi. Mfyuuu
Wasaidie watoto hao
Usijali wakikua wataachaWasaidie watoto hao
Kwa mpare wewe au mwingine?Sijawahi kuwa bahili infact kuhonga ni hobby yangu, especially mademu wenye sura ngumu au wenye sura za baba zao ...Am their chief comforter
Pesa tunazo lakini ya kumpa tunaisikiliziaUsijali wakikua wataacha
Chama chetu hichoKiukweli haraka za kikundi au muungano huu baadhi nakubaliana nao.
UWABATA NI NINI?
Ni umoja wa wanaume bahili Tanzania, ni kikundi kimeanzia FB kimasihara lakini kimekuwa gumzo kila kona.
Motto: KUNA HELA NAISKILIZIA
Yani kila utakachoombwa jibu linapaswa kuwa hilo, usiseme sina wewe mpe matumaini tu. Nimependa sana huo ubunifu.
Naomba kama kuna admin mmojawapo humu afungue uzi humu ila kusambaza na kutangaza hiyo kampeni.
Karibu mkuuChama chetu hicho
Mimi ni mmoja wenuKaribu mkuu
utatunza nini sasa mjumbeMkuu wa idara ya propaganda na jinsi ya kukwepa vibomu(vizinga) nipo hapa.