Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)

View attachment 1689642

Hii nimekutana nayo mahali.... Kumbe hawa jamaa sio wa mchezo mchezo mpaka wametengeneza sarafu yao...
3d803510f8894c5bba431803caa6fa44(1).jpg

Mimi kama katibu nasikitika kuskia kuna wanaume wanasherekea valentine
 
Kiukweli haraka za kikundi au muungano huu baadhi nakubaliana nao.

UWABATA NI NINI?
Ni umoja wa wanaume bahili Tanzania, ni kikundi kimeanzia FB kimasihara lakini kimekuwa gumzo kila kona.

Motto: KUNA HELA NAISKILIZIA
Yani kila utakachoombwa jibu linapaswa kuwa hilo, usiseme sina wewe mpe matumaini tu. Nimependa sana huo ubunifu.

Naomba kama kuna admin mmojawapo humu afungue uzi humu ila kusambaza na kutangaza hiyo kampeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom