Umoja wa wanaume bahili Tanzania (UWABATA)

Kuna Hela naisikilizia
JamiiForums439149540_270x480.jpg


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli haraka za kikundi au muungano huu baadhi nakubaliana nao.

UWABATA NI NINI?
Ni umoja wa wanaume bahili Tanzania, ni kikundi kimeanzia FB kimasihara lakini kimekuwa gumzo kila kona.

Motto: KUNA HELA NAISKILIZIA
Yani kila utakachoombwa jibu linapaswa kuwa hilo, usiseme sina wewe mpe matumaini tu. Nimependa sana huo ubunifu.

Naomba kama kuna admin mmojawapo humu afungue uzi humu ila kusambaza na kutangaza hiyo kampeni.
Chama chetu hicho
 
Tunapata wapi hizo sarafu!?
Nashauri Annual meeting ijayo tupunguze kiasi, bado jelo ni kubwa, inauma sana kuitoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom