kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,590
- 183
tumaini acha longolongo mbowe hajamaliza shule gani primary?haendeshi biashara ya pombe bali burudani kama wewe si mshiriki chill basi kama anadaiwa au hadaiwi hiyo si issue hata serikari ya tanzania na marekani zinadaiwa.....may be hata wewe unadaiwa benki sasa hivi kudaiwa ni kawaida ila kulipa ni mipangohilo linahusikaje na umoja wa upinzani?
in BTW ujue mbowe hajamaliza shule alianza akafeli..anaendesha biashara ya pombe na uchangu doa..mjini lakini bado anadaiwa na nssf..
acha personalites tuongee nani aliaanzisha hii idea na imefikia wapi?, je itakuwepo?