Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumain, Nov 29, 2009.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na jitahada za kuwepo umoja wa vyama vya upinzani Tanzania, wakati fulani niliona Chadema, CUF, NCCR-mageuzi na TLP wakisema wameunda umoja wa vyama vinne?

  Swali umoja huu bado upo? na nani alikuwa mwanzilishi na malengo yao yalikuwa nini?

  Kipi kimeshindakana au kimekwamisha muungano huu je muungano utakuwepo huko tunakoenda? if yes when?
   
 2. P

  Papa Sam Senior Member

  #2
  Nov 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upinzani wenyewe CHADEMA anaungana na vyama mamluki, Tarime CCM , TLP. DP na CUF waliungana wakiwa na dhamira ya kuiangusha CHADEMA, HAWAAMINIKI, mfano CUF hawajulikani wanataka nini katika siasa, chama kimejaa watu wenye fikra za kikale .
  Hakuna haja yakuungana ilhali falsafa yakuanzishwa vyama hivyo haifanani
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nani aliyeanzisha hii fikra na walikuwa na malengo gani?...

  je tatizo ni CUF tu yenye watu wenye fikra za kikale..

  umetumia vigezo gani kujua kwamba wanafikra za kikale tusaidie?
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  umoja wa wapinzani hautowahi kutokea kwa vile viongozi wa upinzani hawana nia ya kuikomboa nchi yetu wana nia ya kukomboa matumbo yao kama ccm.
   
 5. P

  Papa Sam Senior Member

  #5
  Nov 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walipiga kelele za furaha kufurahia propaganda za CCM kuaminisha UMMA kua CHADEMA ilimuua Wangwe, hapa inatafsiri moj a kua, hupati kuungwa bila chadema kuchafuka Kwanza.
  Kudhani kwamba kila mkazi wa maeneo ya pwani kua anaipenda CUF.....MIMI NIKO HUKU MTWARA, ambako viongozi wengi wa CUF hawafanyi juhudi ya kuwaaminisha na kuwaelimisha watu kwanini CUF ni chama bora, wao wanaamini kwa kua mtwara ni pwani basi kila mtu ni CUF, hakika wamepotea.
  Lipumba ni mwanasiasa mjinga tu, hana record mwanana ya mapambano ya dhahiri ya kisiasa, hajawahi hata kuongoza kata, hana hadhi ya kuongoza CHAMA cha siasa, labda Faculty ya Uchumi pale mlimani.
  Mashabiki wa cuf ni watu waajabu mara nyingi ni wagomvi sana. mpaka sasa sielewi kwanini CUF ni wapenda makuu na ugomvi.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  We need a strong opposition party not an alliance of weak ones.
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wewe ni mgonjwa ....nenda kaongee na wajinga wenzako hukooo, tunaongelea umoja wa upinzani wewe unaongelea ugomvi wako na lipumba umetumwa?
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  When weak join hand they become strong..have forgetten that?
   
 9. P

  Papa Sam Senior Member

  #9
  Nov 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio tatizo liko hapo, hampendi kuambiwa ukweli na vyama vyenu mfu na kina Lipumba wenu vimeo, ili uweze kusonga mbele ni vyema ukaujua ukweli kutoka kwa mtu mwingine.....tusema ukweli, ukiacha uenyekiti wa CUF lipumba amewahi kuongoza nafasi gani kisias, hawa si viongozi, wanavigeuza vyama kama taasisi za kuombea misaada, wanajiongezea CVs ili wakienda kwenye workshop za kimataifa wakapate kuganga njaa.
  CUF ni wagomvi, kila mahala wanapenda ugomvi na matusi.
   
 10. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hilo linahusikaje na umoja wa upinzani?

  in BTW ujue mbowe hajamaliza shule alianza akafeli..anaendesha biashara ya pombe na uchangu doa..mjini lakini bado anadaiwa na nssf..

  acha personalites tuongee nani aliaanzisha hii idea na imefikia wapi?, je itakuwepo?
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nope. When weak unite it is just a chain of weak links. Even when the weak unite it is always under one strong leader. That's why in the fight for independence we the weak( wananchi) united but we united under strong people who were capable of taking us all the way. So the question is which is the strong party to lead the rest of them? Or who is the strong leader who can lead them?
   
 12. P

  Papa Sam Senior Member

  #12
  Nov 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani biashara ya Pombe ni haramu...wewe ni mjinga na punguani .
  kudaiwa na NSSF kwani ni wizi.....hauko kisasa.
  Lakini ni kiongozi makini mwenye historia ya kua mbunge.......
  Sikila msomi anakarama ya uongozi, unadhani kuwa profesa ni uongozi.
  Bado naamini Libumba ni kiongozi asie faaa katika siasa na ndio maana muungano hauwezi kufanikiwa.
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  So, it is weak wananchi who should first united and find strong leader or we find the strong leader first who can you unite the weak wananchi! which is which?

  As for strong leader who can lead them what do you think? and why?

  do you think this can happen between now aand before 2010?

  what went wrong with previous alliance of four parties ..

  these were fundemenatls questions i wanted JF opinions..
   
 14. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kama unaona hafai una haki kutompigia kura akigombea kama mtanzania mwingine...nami sintampigia mbowe kwasababu hafai kwa vigezo vyangu kama mpiga kwa hiyo kila heri..

  lipumba ni msomi anayeshimika ndani ya nchi (ni walimu wa watu wengi sana) na kimataifa...na watu wanaomkubali ni wengi...kwa achievement zake za kitaaluma pamoja za kiongozi..kama humpendi ni bahati mbaya tu..usimpigie kura.
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  It is a both way thing. The right leader should come out and be willing to serve the people and the wananchi must be ready to elect him/her into a position of power. Every team has captain so we do need a strong leader.

  I don't think it will happen between now and 2010. I highly doubt it.

  What caused the alliance to fail was that there was no clear cut leader. You can't unite and every one starts acting like they are the leader in the end you will just end up having a power struggle.
   
 16. P

  Papa Sam Senior Member

  #16
  Nov 29, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni Idea nzuri, lakini kwenye muktadha wa Muungano wa vyma vya siasa nakuambia ukweli kua hauna haja wala maana, kama ulikua na maana kulikua na haja gani kuanzisha vyama hivi, maana kama CUF anaitikadi, CHADEMA wanaitikadi nyingine tofauti, sasa itadi kuziunganisha ni ngumu, unapoenda kugombea unawauzia Wapiga kura mawazo na fikra za chama chako......
  hakuna haja ya kuungana maana Mrema+Lipumba+Mtikila=CCM masalia.
   
 17. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na mbowe ni ccm asilia? au
  kwahiyo umoja umeshakufa kifo cha mende mpaka hapo?
   
 18. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  pole na kipigo cha jana mzee wenger
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kama wangekuwa na umoja huo ingesaidia sana
   
 20. D

  Don Cicci Member

  #20
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Crystal
   
Loading...