Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,299
- 3,411
- Thread starter
- #21
Kama hujui basi fatilia dini moja imeshaundwa , usisubiri kuna siku utatangaziwa dini ni hii na siku ni hii, shetani ni geneus anaendesha mambo kwa siri , na anatumia mfumo wa pyramid , wanaoungana ni viongoz wa juu wa juu wa madhehebu na dini zote duniani sio uislamu au usabato, au uhindu wote wsmeshaungana, huku chini waumini mnaletewa tu mafundisho kupitia vijitabu vya kanuni za kanisa, misale , tijara, katekisimu, n.kKusdma kwamba hivi karibuni tutashuhudia tukiwa na Taifa moja na Dini moja huo ni uongo, Ni Karne zijazo huko wakati huo Waislam na Wasabato wawe wameuawa wote labda, Maana hawa ndio wanatuchelewesha.
Pope Francis and Grand Imam of al-Azhar Sheikh Ahmed al-Tayeb signing a document on fighting extremism, during an inter-religious meeting. (REUTERS/Tony Gentile)
Tunajua kwamba ulimwengu wote hatimaye tutakuwa chini ya dini na serikali moja kama anavyosema Padre Malachi Martin wa kanisa Katoliki katika kitabu chake kiitwacho “The Keys of this blood”,
anasema “He is as determined to be world ruler as was Constatine in his day.” p. 49.
Akimaanisha kwamba Papa wa kanisa Katoliki atakuwa kiongozi wa dunia nzima kama
alivyokuwa Constatine wakati wake. Hili pia linathibitishwa na Mungu kama
tunavyosoma kwamba “….akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na
taifa.” Ufunuo 13:7.
Wale watakaokataa kutawaliwa na mnyama huyo watakabiliwa na
kifo maana tayari sheria imetungwa katika mahaka ya kimataifa inayoitwa “The Rome
statute of International Criminal Court.”
Hebu tumsikilize mkuu wa shirika la Jesuits anavyosema:
“See, sir, from this Chamber, I govern, not only to Paris, but to China; not only to China,
but to all the world, without anyone knowing how i do it.” (Tamburini, General of the
Jesuits.)
Yeye anasema kwamba “kutoka ndani ya ofisi hii, ninatawala, sio tu hata Paris, bali
hadi China, sio tu hadi China bali katika ulimwengu wote, bila mtu yeyote kujua jinsi
ninavyofanya.”
HII NI VITA YA KIROHO SIO KIMWILI , HIVO MNASUBIRI MAMBO YAENDE WAZIWAZI, MTAJIKUTA MMESHAPOKEA ALAMA YA MNYAMA
Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo zikiwa zinafanya kazi kwa mwongozo wa Illuminati. Katika taasisi za kidini tunakuta Baraza la Umoja wa makanisa ulimwenguni (World Council of Churches) ambalo lilianzishwa na Illuminati kwa makusudi ya kuunganisha dini zote za Kikristo na kutengeneza “Mnara wa Babeli” wa kiroho.
Tayari kuna makanisa mengi ambayo yamejiunga kwenye umoja huo. Wengi hawajui kama umoja huo uko chini ya chama cha siri cha Illuminati ambacho kina siri kubwa sana katika kutawala dini na dunia kwa ujumla.
Ukitaka kujua kama kanisa lako ni mwanachama wa Baraza hilo unaweza kutembelea mtandao wa Baraza hilo kwenye World Council of Churches
Ieleweke kwamba WCC ina vitengo kama Christian World Communion, Global Christian Forum, nk. ambapo kanisa linaweza lisiwe member wa WCC moja kwa moja ila likawa member wa vitengo vilivyo chini ya WCC.