Umoja wa mabachela wa chit chat (umachi)

Umoja wa mabachela wa chit chat (umachi)

heheheheh chezea Preta, anajichagulia mwenyewe kuleeee jukwaa la utambulisho, ilhali Remmy anasubiri mpaka watu wafike wang'are ndo awaone loh.....


halafu nshamuacha.....nimekurudishia.....nina kitu kipyaaaa.....hata makaratasi hakijatolewa......
 
Last edited by a moderator:
Kaizer una uhakika na ombi lako??!
Mi naomba tu kuwa mlezi wa chama.
 
Last edited by a moderator:
Najitolea kuwa mshauri wa chama
Natoa ushauri bure bila malipo!??
 
mkuu unaaziamini bla bla za mtoa hoja? mpotezee bana.


ah ha ha ha haha Nshomile Bishanga naona umeanza kuona red lights kwa umoja huu kukuhatarishia amani yako hapa CC, (chit chat a.k.a Central committee)
 
Last edited by a moderator:
jamani naendelea kutoa witoo kwa mabachela wooote waliopo hapa chitchat tujitokeze kukiunga mkono hiki chama kwa ukombozi wa mabachela wooote


UMACHI..... tumaini jipya la wana chitchat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom