Umoja wa mabachela wa chit chat (umachi)

Umoja wa mabachela wa chit chat (umachi)

Hata mkiwa na umoja, Kama hamtojituma Kama hao majamaa mtakimbiwa tu. Nyi hamshangai mtu Ana wake wa tatu bado wanawake hawatoki tu.
 
Nadhan jinalangu tayari lipo kwenye orodha ya bachala wakeleketwa wa cht chat...
 
Jamani kwa niaba ya Mabachela woote waliopo hapa jamvini napenda kuwajulisha tuko mbioni kuanzisha umoja maalum kwa ajili yetu, huu utatusaidia kutetea haki zetu ikiwa ni pamoja na kusaidia pale tunapovamiwa movements zetu na watu kama Kina Bishanga, Asprin, Erickb52 na wengineo ambao wanaendelea kujirundikia nyumba ndogo kibao


kama wewe ni bachela kwa hapa Chit chat naomba ujiandikishe kwenye thread hii karibu sana


our Motto: Chit chat for smart bachelors
Our Vision: Provide a new generation of chit chatters families
Objective: By hooks and cooks be smart and pure


core values: Smartness, Gentle and focused


kama unaona unaendana nasi karibu sana

Count me in.
Imetosha sasa...
 
Last edited by a moderator:
Nasapoti chama. Nipe fomu ya uanachama nijaze fasta.

shukrani sana kaka... karibu sana!
baada ya kuona uwepo wako nimekumbuka kuweka column ya "ulishawahi kuachwa?" "kama ndiyo mara ngapi?"
hiyo itakuwepo kwenye form pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom