Umoja wa mabachela wa chit chat (umachi)

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Jamani kwa niaba ya Mabachela woote waliopo hapa jamvini napenda kuwajulisha tuko mbioni kuanzisha umoja maalum kwa ajili yetu, huu utatusaidia kutetea haki zetu ikiwa ni pamoja na kusaidia pale tunapovamiwa movements zetu na watu kama Kina Bishanga, Asprin, Erickb52 na wengineo ambao wanaendelea kujirundikia nyumba ndogo kibao


kama wewe ni bachela kwa hapa Chit chat naomba ujiandikishe kwenye thread hii karibu sana


our Motto: Chit chat for smart bachelors
Our Vision: Provide a new generation of chit chatters families
Objective: By hooks and cooks be smart and pure


core values: Smartness, Gentle and focused


kama unaona unaendana nasi karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Nooo! Nicas mtei you are totally wrong! Chama ni jina la rafiki yangu aitwaye chama gongo la mboto. Nambembeleza ahamie cdm. So nadhani umeelewa sasa kuwa ukiandika chama ujue unataja id ya mtu. Ova.
 
nasubiri chama cha cheaters.....kikianza naombeni fomu #1.....
 
Folen ikiisha nami ntakuja beba form pia naomba niwe katibu mwenez wa chama/taasisi
 
Nooo! Nicas mtei you are totally wrong! Chama ni jina la rafiki yangu aitwaye chama gongo la mboto. Nambembeleza ahamie cdm. So nadhani umeelewa sasa kuwa ukiandika chama ujue unataja id ya mtu. Ova.

hahahaha. Nimeelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom