A Arovera JF-Expert Member Nov 19, 2013 10,985 28,569 May 20, 2021 #21 johnthebaptist said: Hahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee! Click to expand... Umeona upande mmoja wamepanda bange, upande mwingine wameweka viazi mviringo vya kuzugia hapo ni ofisi ya mkoa
johnthebaptist said: Hahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee! Click to expand... Umeona upande mmoja wamepanda bange, upande mwingine wameweka viazi mviringo vya kuzugia hapo ni ofisi ya mkoa
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,798 218,445 May 20, 2021 Thread starter #22 Arovera said: View attachment 1792135 Mbona ofisi haina eneo la bendera kama ilivo hapo makao makuu Click to expand... Stay tuned
Arovera said: View attachment 1792135 Mbona ofisi haina eneo la bendera kama ilivo hapo makao makuu Click to expand... Stay tuned
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,798 218,445 May 20, 2021 Thread starter #23 Arovera said: Itabidi nimpigie Simu Mdogo wangu Rose Mayemba nimuulize vizuri Click to expand... Rose Mayemba ni miongoni mwa waliohakikisha nyumba hii inajengwa
Arovera said: Itabidi nimpigie Simu Mdogo wangu Rose Mayemba nimuulize vizuri Click to expand... Rose Mayemba ni miongoni mwa waliohakikisha nyumba hii inajengwa
M Mhigo Member May 6, 2021 98 164 May 20, 2021 #24 Mna hati ya kiwanja? Nyie ni raia watanzania? Mnapojenga huwa hamkusanyani? Intelijensia haijajua kuwa mnamikunyiko? Tafuteni hati Mara moja,
Mna hati ya kiwanja? Nyie ni raia watanzania? Mnapojenga huwa hamkusanyani? Intelijensia haijajua kuwa mnamikunyiko? Tafuteni hati Mara moja,
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,940 May 20, 2021 #25 johnthebaptist said: Hahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee! Click to expand... Pole
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,922 33,369 May 20, 2021 #26 Erythrocyte said: Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe Click to expand... Kabla haijakamilika inakuwa ya nani!!!?
Erythrocyte said: Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe Click to expand... Kabla haijakamilika inakuwa ya nani!!!?
Mkomavu JF-Expert Member Jan 25, 2016 11,753 16,743 May 20, 2021 #27 johnthebaptist said: Hayo majani hapo mbele ni bangi? Click to expand... Ilikuwa inavutwa na mwendazake kipindi anafundisha sengerema secondary
johnthebaptist said: Hayo majani hapo mbele ni bangi? Click to expand... Ilikuwa inavutwa na mwendazake kipindi anafundisha sengerema secondary
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,922 33,369 May 20, 2021 #28 Erythrocyte said: Hakika kwa kazi hii iliyotukuka Mungu atawarudishia mara dufu . Click to expand... Hata watendaji wa nyumba za ibada wanatubutua kwa kauli mbiu hii hii
Erythrocyte said: Hakika kwa kazi hii iliyotukuka Mungu atawarudishia mara dufu . Click to expand... Hata watendaji wa nyumba za ibada wanatubutua kwa kauli mbiu hii hii
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,922 33,369 May 20, 2021 #29 Nawashauri wekeni nondo siyo flat bar maana msimu ukifika mahasimu wenu watazikata na kupitia humo madirishani
Nawashauri wekeni nondo siyo flat bar maana msimu ukifika mahasimu wenu watazikata na kupitia humo madirishani
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 117,798 218,445 May 20, 2021 Thread starter #30 marxlups said: Kabla haijakamilika inakuwa ya nani!!!? Click to expand... Kabla hii haijakamilika ofisi ya Mkoa itabaki pale pale ilipo leo , maana ipo na inaendelea na kazi za chama
marxlups said: Kabla haijakamilika inakuwa ya nani!!!? Click to expand... Kabla hii haijakamilika ofisi ya Mkoa itabaki pale pale ilipo leo , maana ipo na inaendelea na kazi za chama