Ummy Mwalimu ameamua kumnanga Job Ndugai huko twitter

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,723
21,108
Hii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake 😂...

Screenshot_2022_0106_201857.jpg
 
Nimemuelewa sana Mzee wa Jalalani.
Anajua fika alikua upande wa Jembe awamu iliyopita, ameshindwa kuwa mnafiki kupondea awamu iliyopita au kujikomba kwa hii, amechagua kukaa kimya. Busara na hekima ya hali ya juu.

Lakini tukija kwenye afya na fedha, tumepigwa. Hao watu hawafai...of course hata akina kigwa, Kamba na Mzee wa mtama ni wale wale tu.
 
Hapo kwenye if any...una maana mama anaweza akaghairi reshuffle aliyoikusudia?
Kwny siasa lolote linawezekana mkuu.
Kama ulichungulia walau kidogo Tbc jana na leo, waweza kuwa umeshuhudia walengwa wanavyojitahidi 'kulamba soli' za mtukufu!
Wakiendelea hivyo kwa wingi, umuhimu wa reshuffle unapoa.
 
Mh .Ummy anafana sana na dada mmoja Mwanafunzi wa UD mwaka 1998!Alikamatwa Supermarket akiiba Chocolate!
 
Hiyo inaitwa 'reshuffling fever', mpaka litangazwe tutaona mengi sana. Watu saa hii wako matumbo joto, full kulogaloga 24hrs.
Mama bora angelitangaza kwa kushtukiza sio kuwapa hint nzito namna hii, Ugali on stake !!!
 
Back
Top Bottom