Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
siyo ustaarabu kuhusisha kila jambo baya na ccm, huo ni uvivu wa kufikiri na ujinga uliopitiliza katika upuuzi wa mawazo ya mwanadamusi shangai kwani tulikwisha uzwa siku nyingi na magamba hakuna tulichobakiza.
siyo ustaarabu kuhusisha kila jambo baya na ccm, huo ni uvivu wa kufikiri na ujinga uliopitiliza katika upuuzi wa mawazo ya mwanadamu
<br /><font size="4">Tido katika hili ndie anayepaswa kulaumiwa. Ameiingiza TBC mkenge maana alisaini mkataba kabla hata ya kwenda baraza la mawaziri na hadi sasa seriikali inahaha kujinasua toka Star Time maana imeshikwa pabaya katika hili. Tusubiri tuone mwisho wake</font>
kwani nchi inashilikiliwa na nani???siyo ustaarabu kuhusisha kila jambo baya na ccm, huo ni uvivu wa kufikiri na ujinga uliopitiliza katika upuuzi wa mawazo ya mwanadamu
siyo ustaarabu kuhusisha kila jambo baya na ccm, huo ni uvivu wa kufikiri na ujinga uliopitiliza katika upuuzi wa mawazo ya mwanadamu
Upupu mwingine yaani mnaboa kupita kiasi.
TBC is whole owned by Government of Tanzania.
StarTimes is co shared by another company and TBC.
Sasa hapo TBC iko mikononi mwa nani?
Kwa taarifa yenu digital broadcaster will only be three nationalwides i.e Startime, Agape TV and another one coming soon the rest will be only making programes.
Sijaona tatizo hata moja! The only way you can convince learned people is if there is broadcasting service contrat that may be shord btn TBC and Startimes which u haven't say anything here.
Kama hatuna point tunyamaze wakuu.
siyo ustaarabu kuhusisha kila jambo baya na ccm, huo ni uvivu wa kufikiri na ujinga uliopitiliza katika upuuzi wa mawazo ya mwanadamu
<br /><br />siyo ustaarabu kuhusisha kila jambo baya na ccm, huo ni uvivu wa kufikiri na ujinga uliopitiliza katika upuuzi wa mawazo ya mwanadamu
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa shirika la utangazaji la taifa (TBC) linabadilisha mfumo wa Matangazo kutoka Analog kwenda Digitali, Hapohapo inasemekana wanaohusika kubadili mfumo huo ni kampuni ya Star times ndio maana matangazo yao yamekuwa mengi sana kwenye TBC.
Maswali:
1.Hivi hii TBC inamilikiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100 au hawa Star times wana hisa humo? au star times inataka kutumia shirika hili la serikali kuuza ving'amuzi vyake?
2.Je mfumo wa digitali ukifanikiwa kwa mgongo wa kampuni ya Star times hatuoni kwamba TBC italazimika kuinyenyekea kampuni hii ili matangazo yake yaende hewani?