Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa shirika la utangazaji la taifa (TBC) linabadilisha mfumo wa Matangazo kutoka Analog kwenda Digitali, Hapohapo inasemekana wanaohusika kubadili mfumo huo ni kampuni ya Star times ndio maana matangazo yao yamekuwa mengi sana kwenye TBC.
Maswali:
1.Hivi hii TBC inamilikiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100 au hawa Star times wana hisa humo? au star times inataka kutumia shirika hili la serikali kuuza ving'amuzi vyake?
2.Je mfumo wa digitali ukifanikiwa kwa mgongo wa kampuni ya Star times hatuoni kwamba TBC italazimika kuinyenyekea kampuni hii ili matangazo yake yaende hewani?