Umfikiriavyo/Nimfikiriavyo Mwanakijiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umfikiriavyo/Nimfikiriavyo Mwanakijiji

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Boflo, Jul 18, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  a-Pande la jitu

  b-Ana uchungu sana na nchi

  c-Hana mke

  d-Ana sura ngumu

  Haya mawazo huwa yananijia sana hasa wakati ninapokuwa nasikiliza audio zake kutokana na sauti lake

  jinsi lilivyo base na ya kutisha huku akiongea kwa hisia kubwa na msisitizo ....

  Je wewe unamfikiriaje?? .......
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Namfikiria anafanana sana na Cpt . Damiano Comba .
  Na wewe Boflo nakuimagine uko kama Benjamini Netanyahu Mkapa
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah jamaa namuonaga kama ni mzalendo wa kweli dah
  Mungu amsaidie sana Mwanakijiji
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni mpole sana, ni mkarimu, ana akili nyingi na mabusara ya kufa mtu! Kwa umbo huwa nahisi yuko kama Paul Kagame lol!
   
 5. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kitakuwa kibabu haswa!
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Umemaliza mamito.
   
 7. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,875
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  Me huwa namfananisha umbo na mavazi yake kama Manfred Masako.
   
Loading...