Umezaliwa Mwezi Gani??

Umezaliwa Mwezi Gani??

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Umezaliwa mwezi gani?
JANUARY =:> Jasiri na mkorofi

FEBRUARY = :> Mwenye bahati na
mkweli

MARCH =:> Msumbufu ana wivu na
penzi la kweli na nimzuri

APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji.

MAY =:> Mwenye upendo na aliye halisi

JUNE =:> Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo

JULY =:>Amebarikiwa vipaji na ana busara

AUGUST =:> Makini na mchapa kazi

SEPTEMBER =:>Anaelewa haraka na ni mzuri

OCTOBER =:> Anakwenda na wakati na ni rafiki

NOVEMBER= :> Ana kipaji na ni mbunifu

DECEMBER =:> M2 wa starehe 2.
 
Nimezaliwa June tarehe 22, yaani juzi kati tu nilisherehekea mwaka mpya.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
June 6.....ndo maaana wanaeeenda alaf wanarudiii

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
January 28... but sina uhakika kwenye ukorofi, i was though!!!
 
Kwa March ni kweli kabisa ,huwa wengi wana wivu balaa
 
july 15.mbona cna kipaji??ww mtoto wa shekh yahya nn??
 
march 3rd,wivu ninao ila ni wa kawaida tu sio ule wa kughasi
ivo vingine vyote kweli,
 
Umezaliwa mwezi gani?
JANUARY =:> Jasiri na mkorofi

FEBRUARY = :> Mwenye bahati na
mkweli

MARCH =:> Msumbufu ana wivu na
penzi la kweli na nimzuri

APRIL=:> Anajali na ni mpiganaji.

MAY =:> Mwenye upendo na aliye halisi

JUNE =:> Mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo

JULY =:>Amebarikiwa vipaji na ana busara

AUGUST =:> Makini na mchapa kazi

SEPTEMBER =:>Anaelewa haraka na ni mzuri

OCTOBER =:> Anakwenda na wakati na ni rafiki

NOVEMBER= :> Ana kipaji na ni mbunifu

DECEMBER =:> M2 wa starehe 2.


mimi ni GEMINI 19TH OF JUNE 19..sio mbaya sana compare na hizo zingine :happy:
 
niko june mie khaa mbona ni mwezi wa yeboyebo hapa jamvini kulikoni au ndo mvuto umewaleta huku.its our time to celebrate my birthmate love you all:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
December tena watoto wangu ni march. april. may na august na kweli wanaendana na uliyoandika. pokea tano.
 
Back
Top Bottom