Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,739
CHADEMA, UKAWA tahadhari mpango huu unatekelezwa leo
Viongozi wa vyama vinavyounda UKAWA, hususan wale wa CHADEMA na CUF wachukue tahadhari kubwa sana kuanzia asubuhi ya leo Jumanne, Machi Mosi, kutokana na mpango kabambe unaoandaliwa na 'CCM na watu wake' wa kuwapandikizia vitu hatari visivyokuwa halali ili kuhalalisha kamatakamata inayopangwa kufanyika kuanzia asubuhi leo, mojawapo ya malengo yakiwa ni vita ya Umeya wa Jiji la Dar es Salaam.
Mpango huo hatari umelenga kuwawekea vitu kama viungo vya watu, dawa za kulevya, silaha n.k almuradi vitu vyovyote visivyo halali kisheria ambavyo vitahalalisha kuwakamata na kuwaweka chini ulinzi viongozi wa vyama hivyo, wabunge na madiwani.
UKAWA na hasa CHADEMA na CUF chukueni tahadhari. Kuweni makini kwenye makazi yenu, wanakuja akina nani, kwa malengo gani, wamebeba nini. Lakini pia toeni taarifa haraka kwa vyombo vya dola na mahakama yenu mnayoiamini ambayo inawapatia sapoti kwa haki yaan umma.
Wakatabahu. Raia wema tumetimiza wajibu wetu. Uzalendo kwa mabadiliko si lazima uwe mwanachama au mkereketwa au mfurukutwa au kamanda.
Dini zote husema Amin...