BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
""Nafurahi kua nawe hivyo nataka uelewe ya kwamba mapenzi ni ya wawili""Kwakweli mapenzi ni ya wawili tu.
""Nafurahi kua nawe hivyo nataka uelewe ya kwamba mapenzi ni ya wawili""Kwakweli mapenzi ni ya wawili tu.
NiceMO11 wangu umewazidi wote.
mhhh kumbeWe ndo ujibu kwanini umwogope?
Akiingia wa tatu ni kizungumkuti.""Nafurahi kua nawe hivyo nataka uelewe ya kwamba mapenzi ni ya wawili""
Nini tena?mhhh kumbe
Sijapata aise... Op rahisi labda wtsp[emoji17]Mh haujapata audio yake valentina
embu chagua option yako yoyote nikutumie
nitakwambia chumbani hapa kuna wambea macho juu juuNini tena?
umesearch online kote umekosa kweli? itakuwa hujajaribuSijapata aise... Op rahisi labda wtsp[emoji17]
Tehe tehe tehe tehenitakwambia chumbani hapa kuna wambea macho juu juu
Okey ukujenitakwambia chumbani hapa kuna wambea macho juu juu
Mambo ya online uvivu bana... Nshatumiwa tayari[emoji108]umesearch online kote umekosa kweli? itakuwa hujajaribu
mh mbona vingine sio mvivu sistaMambo ya online uvivu bana... Nshatumiwa tayari[emoji108]
maliza kazi kwanza mamaaaOkey ukuje
Naanzaje kua mvivu kwenye hayo mengine kwa mfano?mh mbona vingine sio mvivu sista
umeyajua ni yapi sasa mh sistaNaanzaje kua mvivu kwenye hayo mengine kwa mfano?
Nimeyajua kabisa...umeyajua ni yapi sasa mh sista
simara[emoji23][emoji23][emoji23] jamani, ilo watalijibu ambao sio wanandoa
Kwel bnadam wana maneno sana. Mke / mume umemchagua mwenyewe lkn walmwengu watasema mara hawaendan, ooh malaya na utabr watatoa. Hao mda sio watatengana.Mojawapo ya nyimbo nzuri sana kwa wanandoa ni hii ya Bahati Bukuku.
Chorus
Maneno yao umeyasikia maneno yao × 4
Verse
Eti wanasema hivi nilivyo sio hadhi yako
Eti wanasema kukupata wewe mimi si hadhi yako
Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo
Maneno yao umeyasikia maneno yao
Eti wanasema mimi sifanani kuwa na nyumba hiyo
Eti wanasema hivi nilivyo sio hadhi yako
Hawajui tulianzia wapi hawajui
Hawajui kuna siri gani hawajui
Wanapotazama majumba hayo hawajui
Hawajui mchango wangu kwako hawajui
Wanavyokutazama unavyopendeza hawajui
Hawajui hekima yangu kwako hawajui..............................