Kula Sambusa yenye pembe tatu kamili
Ni tamu
Kama hujawahi nenda Kajaribu
Kula Sambusa yenye pembe tatu kamili
Ni tamu
Kama hujawahi nenda Kajaribu
Hapa 7UP mbona nyingi , ila lazima unywe na supu ya ulimi .............hahahhasubuhi ni njema kwa kweli........wapi sambusa inapatikana?
habari ya asubuhi mkuu??nikajaribu wapi?
nenda gulion utazpata!!1
eeh mzgo wangu mwanaume wewe vp upo?
Morning madame!
kweli huu ni mwanzo mzuri wa weekend,, wapi napatia mimi hiyo pembetatu???
Kula Sambusa yenye pembe tatu kamili
Ni tamu
Kama hujawahi nenda Kajaribu