Umewahi Sikia Hii??

Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa kutoka kimitegomitego. Kafumaniwa na mabosi wake zaidi ya watano, mwisho wa fumanizi mgoni analipa tu faini ya shilingi laki tano. Watu kuja kushtuka kuwa ulikuwa ni mchezo uliokuwa unachezwa na huyu mama kwa kushirikiana na mume wake, wakware wengi walishachomolewa pesa sana tu. Thanks God alihama mji na kazi aliacha....
Vipi ulikuwa umeanza kumuweka kwenye mahesabu?? Nawe zingekutoka laki 5!!!
 
Katavi shkamoo.
Ngoja nikusaidie kupokea wageni
Leo
....... hapa pagumu nakimbia... :)
 
Katavi shkamoo.<br />
Ngoja nikusaidie kupokea wageni <br />
Leo<br />
....... hapa pagumu nakimbia... <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" />
Karibu...
 
Mashetani yamepanda yamekuja na mapanga. Hata ukienda kwa mganga na mizimu yote itaganda.
 
jamani maisha magumu hadi umweke mkeo rehani? ujinga na kutanguliza njaa kwa kila kitu. sasa mkewe akifariki si jamaa ataingia mwenyewe mzigoni wakamchakachue wahuni wa mjini!
Yaani hawa wanashangaza, hata kama ni ugumu wa maisha....!!
 
Back
Top Bottom