πππ Ndege hiyo balaa inakutoa Africa inakupeleka Asia kisha inakupeleka ulaya kisha Australia duh! kwenye mabasi kuna kamsemo chetu cha kufaulishwa na kwenye ndege kapo?πππ
Masaa kwa safari moja au jumla ya masaa yote ya safari zote tangu kuzaliwa?
Mimi binafsi kwa safari moja nimewahi kaa angani kwa masaa 10 mfululizo na kwa jumla ya safari zote kwakweli siwezi hesabu maana ndege ndo usafiri wangu mkubwa.