Umewahi kuona kijana ambaye hajihusishi na mapenzi eti mpaka aoe japo kuna wasichana wanaonesha kumtaka?

Ackhery

JF-Expert Member
Jan 5, 2021
293
299
Habari ndugu.

Natumaini u mzma kwa uweza wa Mungu, leo nimeona nikupe kisa hiki

Nakumbuka siku moja nikiwa na jamaa yangu. Sasa jamaa yeye alikua hawafatilii wanawake lakini wanawake walikua wakitafuta sana lakini jamaa anawawaona kama wa kawaida tuu na alidai kwamba hajawahi kufanya kabisa mapenzi eti mpaka aje aoe na ukitathimini umri wake kama miaka 21 au 22, na ukimwangalia utamkuta bize na mambo mengine kama ya shule,Dini nk Lakini mnaweza kuongozana naye pamoja unakuta jamaa kaitwa kapewa vitu vingi.

Mimi mpaka niwaite lakini sipewi kitu kama yeye nahisi kingine kilichokua kikimsaidia jamaa alikua mcheshi,anaongea vizuri na wenzake unaweza kosana na mtu lakini yeye akaongea naye ama kuwapatanisha .

Je wewe mwenzangu umeshawahi kutana na mtu/watu kama Huyo/hao?
 
Tupo wengi mbona. Tena ukiwa huna mpango na wanawake ndio watajileta wenyewe lakini ukiwa na shobo nao utawapata kwa tabu sana.

Hata ukioa ukiwa bize na mishe zako na mke wako wengi watakutaka sana lakini ni fake love sababu wanataka kujua tu mkeo anakupa nini mpaka unamweshimu hivyo.
 
Back
Top Bottom