Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Sijui Kama ushawahi fall in love ile haswaa… yaani unampenda mtoto hadi akikupigia simu ile sauti ilivyo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu.
Akikuita tu "my love" unajiskia tu kuvua nguo mwenywe… hicho kiupendo ukiwa naye unajiskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja.
Yaani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima halafu usiku unakopa salio umpigie muongee.
Yaani yale mapenz kiasi ukiona love story za Romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu.
Ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu halafu akwambie, "I love u" unajishikilia kwenye ukuta usizimie.
Yaani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much.
Umewahi kufeel hivyo?
Kama ushawahi experience hivyo? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!...