IMEWAHI KUKUTOKEA HII

mlokole halisi

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
268
87
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
#ishakua_biashara_kichaa
 
Kwa kweli..
Ila tuacheni masihara, mapenzi kitu noma Sana hasa pale unapopapenda alafu mwenzio anaekti. Nakumbuka kuna mtu nilishawahi kumpenda alafu akanimwaga, basi nisisikie sauti yake moyo unapiga paaah.. Afu sijui Ni nini, unashindwa kujicontrol kabisa..!
 
Mapenzi ni noma tuacheni utani mapenzi yanaweza kuwa kilevi kingine kama pombe mbalimbali eg safari, konyagi,mapenzi yakikolea hangover yake huisha mpaka utakapo mpata mpenzi mpya
 
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
#ishakua_biashara_kichaa
Nimeipenda hyo ya mnashinda mchana wote afu ucku unakopa umpigie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom