Umewahi kulia kisa kusemwa na mkeo/mpenzio?

Kwamba mkewangu aniseme hadi nilie?duh Where is my manhood strength?
Hapana sio itashusha uanaume wako . tena unaweza ukasemwa kwa busara ukalia haswa. Ukaona mke anavyokujali hataki upotee

Hii iliwahi tokea once kwa mume wangu kuna kosa alikua anafanya si vyema kuanika hapa nikamfahamisha kwa mara ya kwanza akaachana nayo. Kama unavyojua shetani nae hapumziki akarudia nikamuonya nakuonesh kuchukizwa haswa na kumweleza kabisa ikitokea tena jua basi huu utakua mwisho wetu , ikajirudia tena ile siku nilikasirika sana huku machozi yananitoka kwa hasira niliswali rakaa mbili kumtaka Mola wangu msaada, sikuwahi kuona majuto yale aliyojutia aliamka na kupiga magoti na kuniomba msamaha kisha akaenda kuswali rakaa mbili akaja akaomba msamaha tena na vilio ikawa anaswali rakaa mbili kwa mola wake kisha anakuja kulia nami nimsaamehe. Toka sike ile hakuwahi kurudia namshukuru Mungu nae anashukuru kua tunasaidian ktk kuamrishana mema na kukatazana mema


Ila kiubinadamu nilitamani nipate kivideo cha vile alivokua analia na kuomba msamaha maana ni mbabe noma kwa hyo kumbananisha pale ilikua shangwe😂😂😂😂
 
Sikuishia kulia tu alinibeba hadi mgongoni baada ya kwikwi kunikamata
 
Ufalla sio tu kulia,,,, hata kufikiri kuwa mwanaume unaweza kulia mbele ya mkeo ni uduanzi...

Labda watumia unga, akili huwa sio zao ila timamu kabisa hapana.
 
Yeye bado anakukumbuka..ni mteja wangu
emoji2.png
You can't be serious
 
Back
Top Bottom