Umewahi kukutwa na hali kama hii??

Mmmmh mfalme wa Amani ni kweli hili kweli,
Anyway, ngoja nizidishe maombi............

nionavyo mimi....!

WOMEN NEED MEN AROUND THEM...!ndo maana malalamiko yamekuwa mengi humu jamvini.the bottom line ni ''kumtafuta'' na kuzungumza nae,kinyume na hilo that ''PINCH'' you feel will eat you up for the rest of ujana wako
 
Okey, nimekupata kaka angu,
Hebu ngoja nifanye utaratibu huo....................
Huku nikiomba!!!!
 
Hali hii huwa inatokea, unachotakiwa kufanya ni kuwashilikisha watu kiroho, waambie nahitaji maombi, fanyanao maombi, imba sana mapambio, tenzi, nk. cheza chukua muda kutafakari ukuu wa bwana...
 
yote watakwambia lakini fanya hivi

chukua headphone weka masikion, sikiliza msiki wa taratibu.....hasa mziki wa gospo.....

ukimaliza hapo angalia movei za wanyama.....huku mkononi ukiwa umeshika glasi ya maji ya baridi...baada ya hapo ingia chumbani na umweleze mungu shida zako kwa kifupi sana pasipo kurudia rudia...

NB: kuna kitu flani kimetawala nafsi yako ambacho ni cha ukweli lakini wewe umekuwa mbishii wa kuukubali ukweli na hapo ndo ile Roho ya siri(nafsi) inaanza kulia na hivyo unakumbwa na hali hiyo.
 
LD umenifanya nijiskie kuwa na mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kwani hii hali kuna wakati hunitokea.

Dah, hata mimi ninafurahi kusikia kwamba, ni hali ambayo inawapata wadamu,
Ila ninachojifunza ni jinsi ya kutoka kwenye hili tatizo, unaweza ukajikuta una angukia pabaya,
kama hujawa makini. Hasa nikizingatia maelezo ya AD na Teamo hapo juu!!
 
Huo ni upweke tu my dia, jaribu kufanya kitu tofauti na ulichozoea kufanya kila siku,labda utapata unafuu,jaribu kwenda movie na usikae peke yako muda mrefu.
 
nionavyo mimi....!

WOMEN NEED MEN AROUND THEM...!ndo maana malalamiko yamekuwa mengi humu jamvini.the bottom line ni ''kumtafuta'' na kuzungumza nae,kinyume na hilo that ''PINCH'' you feel will eat you up for the rest of ujana wako

Hapana ndugu manake mimi nasolve hili tatizo kwa kuendesha pikipiki kwa kasi sana 90-110 km/hr kutuka AR mjini kuelekea Monduli.Nikipigwa na upepo mkali hii hali ya msongo wa mawazo huniisha kabisa.

Kila mwezi lazima niende Monduli kwa kasi,huku hamna magari mengi kama Dar natumia pikipiki cc 250 XLR.
HAPA NO FUNCTIONAL ROLE YA MWANAUME tena naweza kummboa in case
 
Na mimi KOKUDO hua inanitokea ni khali flan ya hofu either kwa kuwaza ki2 muda mwingi au kuhc ki2 flan mala nyingi hunitokea ninapohc nasalitiwa.lakini pia hua najiuliza kwanini nafikiria v2 ambavyo cna uhakika navyo?na je kama ni kweli c ameamua yy kunisaliti?
Mimi hua najitibu mwenyewe kabla cjaomba msaada kwenu nafanya hivi
*Nafumba macho then navuta pumzi nyingi sana mpaka nahc mbavu zinapanda juu then naziachia kwa pamoja naludia hvyo kila wakati.majibu yake ni mazuri na ya haraka.
*Pia kama maradhi hayo yana7bishwa na mtu ni kudharau/kumdharau haiwezekan mtu akunyime amani wakati mmekutana 2.
*Na kama ni mapenzi km yeye kakuumiza kwa kutoyajari maumivu yako huyo hana maana.
NB:MPENDE MUNGU WAKO 7BU YEYE NDO KIMBILIO LE2 WAKATI WOTE.
 
Thanks Kokudo wangu, hebu sikia huu wimbo!!!!!

Last edited by a moderator:
Sijui kama ni kitu kile kile ila mimi naweza kuamka nisijisikie kuongea na mtu kabisa!!!Hata salamu naweza nisitoe.....nnachofanyaga hua nasikiliza mziki uliotulia....inaisha yenyewe in no time!!!!
 
Sijui kama ni kitu kile kile ila mimi naweza kuamka nisijisikie kuongea na mtu kabisa!!!Hata salamu naweza nisitoe.....nnachofanyaga hua nasikiliza mziki uliotulia....inaisha yenyewe in no time!!!!

Nahisi ni hivi hivi,
Ila kuna ambayo inakujia, inakupeleka zaidi rohoni,
kama unatabia ya kuomba utakuwa unajisikia ukae uombe tuuuuu!!!!

Na ukitafuta kujichekesha chekesha hivi unajistukia tu mwenyewe kwamba hauko sawasawa,
Hiyo ya kutulia naona inasaidia, kwa kiasi fulani.
 
Thanks Kokudo wangu, hebu sikia huu wimbo!!!!!

Maskini LD wangu cm yangu haifungui nilitamani niuckie kweli wimbo huo nadhani ungenipa new hope.ucjari LD jipe moyo utashinda.
 
Last edited by a moderator:
Maskini LD wangu cm yangu haifungui nilitamani niuckie kweli wimbo huo nadhani ungenipa new hope.ucjari LD jipe moyo utashinda.

Pole Kokudo, ukipata nafasi nzuri utausikiliza na huu tena!!!!

Last edited by a moderator:
Nahisi ni hivi hivi,
Ila kuna ambayo inakujia, inakupeleka zaidi rohoni,
kama unatabia ya kuomba utakuwa unajisikia ukae uombe tuuuuu!!!!

Na ukitafuta kujichekesha chekesha hivi unajistukia tu mwenyewe kwamba hauko sawasawa,
Hiyo ya kutulia naona inasaidia, kwa kiasi fulani.

vipi ld leo una amani?napenda kujua progress yako na kama ulifanya ulivyoshauriwa hata kwa uchache
 
Lazima kuna tatizo mahali ndugu,
Hakuna mtu au kitu kinachoweza kukupa amnia zaidi ya Mungu pekee atakupa amni ipitayo amani zote ulizowahi kupata, kwa imani yako sijui wewe ni imani gani Muombe Mungu akupe amani, muombe kila siku mkumbushe siyo uombe leo tu unyamaze uendelee kusononeka.
 
vipi ld leo una amani?napenda kujua progress yako na kama ulifanya ulivyoshauriwa hata kwa uchache

Namshukuru Mungu niko na furaha na nguvu kabisa!!!
 
Asante kaka, hebu nichagulie Msasha mmoja niongee naye!!

hata mimi tunaweza kuongea, kwa utaratibu kabisa...am sure u will be different after that jamani...how are you today lakini?
 
Hii hali humkutaki kila binadamu kwa wakati fulani. Kuna mama mmoja anaitwa Sadaka Gandhi kuna siku nilimsikia anaongelea haya mambo kwenye TV? namtafuta sana. Je kuna mtu yeyote anafahamu anapatikana wapi? LD Mungu ndiye suluhisho la yote. Hata kama leo uko ok kuna wakati hii hali inaweza ikarudi tena tena kwa nguvu sana, kupata ushauri pia itasaidia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom