mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
kuna mdau mbabe wao alikuwa muajiri mkuu hoteli flani kubwa jijini, anaajiri kihalali na kwa madili watu baki ila alipoenda yeye akamwambia kuna banda anataka kujenga shamba amnunulie unga na dagaa ili awe anamlindia...wakati anasema haya pembeni yupo mdau anafanyiwa magumashi ya kukamata fursa ambayo yeye anaambiwa aende shambani.No one can make you to be you but can help you to be you. Ni kupambana tu hakuna mchawi mwingine zaidi ya uzembe kwenye maisha
Uchagani seemu gani mkuu ? Sijawahi sikia au kuona hiimmmmh! ndio maana sisi kule kwetu uchagani (kwa wachaga) mtoto akiwa na pesa nyingi baba na mama yake mzazi utasikia wanamwamkia "SHIKAMOO MANANGU!" hahahaahahahahahaha
Ngoja nisubirie kupopolewa mawe na watani zangu hahahahahah
Labda hakuna "taita" aliyeibuka huko ulikopita!!!Uchagani seemu gani mkuu ? Sijawahi sikia au kuona hii
ni hulka ya mwanadamu kutaka kutawala wenzake hasa kunapokuwa na gap kubwa kiuchumi na wengine waliobaki wakiwa na mentality za utegemezi .Ukiona kwenye ukoo wenu kuna mtu wa hivyo basi jua uo ukoo wenu ni dhaifu sisi kwetu hakuna ayo mambo kuna wanaume wamekaa wanaheshimiana