TrulyKuna wakati mambo huwa yanaenda tu, wala hutumii nguvu.
Halafu yakianza kugoma sasa!! Hapo ndio watu hukimbilia kwa waganga na wachungaji..
😀😀😀Hii ni kweli mama yangu kipindi fulani alikuwa anauza kwasiku milioni usiku mpaka wateja walikuwa wanakuja kugonga nyumbani wakitaka bidhaa ila sasaivi ni hatari sana
Ongeza nyamaBaada ya msoto mnene nikashangaa taratibu Mambo yananyooka wateja Kama wote malengo ya siku niliyojiwekea yakawa yanapitiliza kampani yangu niliyokuwa nashangaa wanalalamika Hali ngumu