Umewahi Kukaa sehemu ukawa Unapiga Story na Mungu? Fanya hivyo kwa njia hii.

Nyinyi walokole waongo sana.
Ivi kama kunauwezekano watu wa kuongea na mungu inakuwaje duniani watu wanahangaika sana na matatizo.
Na kama mtu ukiiangali sana hii dunia yote imejaa ni matatizo tu.
Utasikia x kansa x ebola x ukimwi nk.

Lakini leo hii anaibuka mtu mjinga mjinga anasema anaweza kuongea na mungu.
Mungu baba wa Mbinguni alishatupana kutufanyia kila kitu ni ww tu kuamua kwamba unataka nn na unataka kuwaje ukikaa kwenye line ambayo yy anataka ni kiasi cha kujichukulia tu maana umekaa kwenye timeline yake, ni haki yako ww kuwa mzima, ni haki yako ww kuwa na furaha ni hali yako kuwa tajiri na masikini ,kuwa na familia bora kuwa na kila kitu utakacho lakini kwasababu wengi wetu hatujui nn Mungu anataka tufanye unakuta tunapotea ila kama kila kitu alishatufanyia ndio maana Yesu alisema imekwisha ,.na pia katika Bible aliposema ombeni lolote kwa jina langu mtapewa. Ukitambua hutahangaika
 
jambo rahisi sana hilo wakuu,

just stick to the soul,

believe your inside soul,

close your eyes,

make imagination as GOD/LORD stands beside you.

talk to him with joy and happy....

you will glad..
 
unajaribu kizungumzia matrix
Huyo unayemwongelea HAYUPO...
Sasa utaongea vipi na (mungu) kiumbe ambacho haki-exist...
Vitu unavyoviona pembeni yako kama mtu,gari,nyau nk. navyo pia HAVIPO....
KUMBUKA UKO NDOTONI,IPO SIKU UTAAMKA NA NDIPO UTAJIJUA WEWE NI NANI HASA....usilete stori za mungu ambaye hata kwenye hizi ndoto ambazo umo ndani yake kwa sasa hujawahi hata ota SURA YAKE IKOJE...
Shubaaamit!
 
Back
Top Bottom