Umewahi Kukaa sehemu ukawa Unapiga Story na Mungu? Fanya hivyo kwa njia hii.

Naamini ni kweli, mimi siyo mlokole lakini siku moja nakumbuka ilikuwa ijumaa kuu nilikuwa naumwa tumbo sana basi nikatoka kitandani nikaenda sebuleni, pale sebuleni kulikuwa na msalaba nikasogea nikamwambia Yesu wangu naumwa nataka kwenda kanisani sasa ntaendaje na haya maumivu?? Basi pale pale yale maumivu yakavarnish nkaenda zangu kanisan. Yote yawezekana kwa imani
 
Daaahh, nadhani atakuwa Caviezel yule wanaemvaa shingoni aliecheza Passion of.... Lkn huyo aliye Hai huwezi piga naye stori namna hiyo.
 
Ili uwe mwana wa Mungu ni lazima uwe umempa Yesu maisha yako serious.Yohana1:12. huu ndio ufunguo wa kila kitu.
 
yeah i tried kipind flan hiv...but leo napata jua more....big up brodah
 
Kuna wakristu ni wazuri sana kuwa nao karibu, na huwa wana busara sana. Nahisi mtoa mada ni mmoja wao.

Ila kuna walokole wengine ni kichefuchefu, wana tabia ya kujiona wao wana haki kuliko wengine, wanatabia ya kujiona wao wanastahili kuliko wengine, wanatabia ya kujiona wao ni bora na wako sahihi kuliko ambao si wa imani yao. Huwa nikikutana na wa aina hii, napitaga zangu kushoto for good.
 
Ili uwe mwana wa Mungu ni lazima uwe umempa Yesu maisha yako serious.Yohana1:12. huu ndio ufunguo wa kila kitu.

Nakumbuka nilipatiwa hili somo wakati napata kipaimara. Somo la injili lilitoka katika hiyo verse. Lilinigusa sana na mpaka leo ni karibu miaka 15, halijatoka kichwani hata sasa.
 
kwa anayemfaham kristo na msingi wa ukristo. unasisitiza upendo sana. upendo na unyenyekevu. biblia inasemaje? tusome 1 timotheo 5:6. mkristo hapaswi kujikweza au kudharau wenzie.
"Kwa hiyo, jinyenyekezeni chini ya mkono wenye nguvu wa Mungu, ili awainue ninyi katika wakati unaofaa...."

Kuna wakristu ni wazuri sana kuwa nao karibu, na huwa wana busara sana. Nahisi mtoa mada ni mmoja wao.

Ila kuna walokole wengine ni kichefuchefu, wana tabia ya kujiona wao wana haki kuliko wengine, wanatabia ya kujiona wao wanastahili kuliko wengine, wanatabia ya kujiona wao ni bora na wako sahihi kuliko ambao si wa imani yao. Huwa nikikutana na wa aina hii, napitaga zangu kushoto for good.
 
kwani kwa asubuhi bado kunaendelea? nitajaribu aisee nina mambo mengi sana ya kuongea na Mungu
Hhhhhhh mambo yakuongea na Mungu
IMG-20170605-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom