noname amejibu saw , labda kushinda wote!!!!!!!!!
maisha kwa mtazamo wa hapa duniani ni kula, kunywa na kucheka na yote yanaosababishwa na yanayoambatana na hayo. lakini maisha kwa mtazamo mpana unaojumuisha more than the immediate realm of realties, yaani kwa mtazamp unaozingatia ukweli uhusuo ulimwengu wa roho, ni kuishi kama kiumbe cha kimwili na kiroho na kupokea tuzo zote za ulimwengu huo mpana (multidisciplinary)
kwa kujumuisha, kuna raha sana hapa duniai kama ilivyo pia kuwa kuna shida sana. raha ya maisha ni kula, lunywa na kucheka na huwezi kuitafakari in theinterval of years bali hutokea in the interval of the smallest unit of time (possibly a fraction of a second)....
maisha ni mazuri sana ila yapaswa kuboreshwa kwa kumjua Mungu, kumtukuza na kutazamia a more advanced spiritual life. vinginevyo hutaona raha ya maisha!!!
G nadhani ukifanya kazi 16 hours u wouldnt call tht raha...plus raha ya hapa duniani huwezi kuipata kama hujapata tabu kwanza..there's no such thing as a free lunch
Dah...WoS leo umenirudisha kwenye darasa langu la Philosophy 101, Advanced Philosophy, Truth and Knowledge, Epistemology, Mind, Language, and Logic, Existentialism and Phenomenology, etc.
Damn I was good in that class....Lol
LA hasha hajatuleta kupata tabu...tabu tunajitakia wenyewe....kama unafanya kazi 8 hours jee?
unaenda vacations huku na kule ....
unapigwa na upepo wa bahari na dinner kwenye mwanga wa nyota ...
mwenyezimungu hajatuleta tupate tabu tu .................. raha katuwekea pia, alichosema ni tusijisahau kwenye raha tu
dignityPia ushawahi kujiuliza usawa wa binadamu uko kwenye jambo lipi? Maana binadamu tumetofautiana sana - tumetofautiana rangi, mwonekano, akili, busara, hekima, sauti, hulka, haiba, mahitaji, matakwa, mapenzi, tajiriba, n.k. n.k.
Je, ni kipi ambacho kinatufanya sote tuwe sawa?
:becky:mambo mengi ya namna hii nimejiuliza!!ila hili ni kubwa, ...uendaji wangu wa kanisani wa kusua sua,kama vile naenda kujiburudisha!pombe sinywi,sigara sivuti,kitimoto haramu,milupo najivunga na mengine kibao ninayojivunga kwa sababu ya dini!hujiuliza, hivi nikifa au siku ya mwisho ikifika nikashindwa kuurithi uzima wa milele si itakuwa imekula kwangu!!duniani sijafaidi lolote na mwisho wa siku kwenye moto wa milele!!ikifikia hapo natamani nijiachie kupita kiasi ili nifadi japo sehemu moja!!!
dignity
What's the purpose of life? Why are we here?
waumini wengi wana peace of mind kuliko wasiamini....
agree to disagree
dignity