Umewahi kujiuliza hili?

noname amejibu saw , labda kushinda wote!!!!!!!!!

maisha kwa mtazamo wa hapa duniani ni kula, kunywa na kucheka na yote yanaosababishwa na yanayoambatana na hayo. lakini maisha kwa mtazamo mpana unaojumuisha more than the immediate realm of realties, yaani kwa mtazamp unaozingatia ukweli uhusuo ulimwengu wa roho, ni kuishi kama kiumbe cha kimwili na kiroho na kupokea tuzo zote za ulimwengu huo mpana (multidisciplinary)

kwa kujumuisha, kuna raha sana hapa duniai kama ilivyo pia kuwa kuna shida sana. raha ya maisha ni kula, lunywa na kucheka na huwezi kuitafakari in theinterval of years bali hutokea in the interval of the smallest unit of time (possibly a fraction of a second)....

maisha ni mazuri sana ila yapaswa kuboreshwa kwa kumjua Mungu, kumtukuza na kutazamia a more advanced spiritual life. vinginevyo hutaona raha ya maisha!!!
 
Safi sana umejibu vizuri sana, Mungu mwenyewe alisema raha ya mwanadamu ni kula na kunywa na kucheka. Hata ukiwa na pesa au huna pesa kama hakuna amani moyoni mwako utaona maisha ni taabu tupu!
 
G nadhani ukifanya kazi 16 hours u wouldnt call tht raha...plus raha ya hapa duniani huwezi kuipata kama hujapata tabu kwanza..there's no such thing as a free lunch

kama unafanya kazi 8 hours jee?

unaenda vacations huku na kule ....

unapigwa na upepo wa bahari na dinner kwenye mwanga wa nyota ...

mwenyezimungu hajatuleta tupate tabu tu .................. raha katuwekea pia, alichosema ni tusijisahau kwenye raha tu
 
Dah...WoS leo umenirudisha kwenye darasa langu la Philosophy 101, Advanced Philosophy, Truth and Knowledge, Epistemology, Mind, Language, and Logic, Existentialism and Phenomenology, etc.

Damn I was good in that class....Lol

Na kwa nini ukakimbia huo upadre kama ni hivyo. Practice what you were/are good for. Just guessing heh!
 
je umewahi kufikiria the other side of the shilling? hapo umelenga walionda skuli tuu. Sasa walioishia darasa la saba vipi? Raha wanayo hawana?. Maana maisha kwao yalianzia bwteen 16 -20 .
 
kama unafanya kazi 8 hours jee?

unaenda vacations huku na kule ....

unapigwa na upepo wa bahari na dinner kwenye mwanga wa nyota ...

mwenyezimungu hajatuleta tupate tabu tu .................. raha katuwekea pia, alichosema ni tusijisahau kwenye raha tu
LA hasha hajatuleta kupata tabu...tabu tunajitakia wenyewe....

Dinner kwenye mwanga wa nyota sounds like a perfect escape:A S 8:

8 - 11 hours i can survive..but 16 hours....... frankly speaking am not designed to work such long hours ....
 
its true lakini mimi sina data za kutosha kutoka katika vizazi vilivyopita kwamba eti walikuwa wakila raha, zaidi ya kusikia kwamba walikuwa wakipigana vita all the time. definition ya maisha itafute kwa ku-analize uhusiano wako wewe na wanajamii coz ndo wanaokupangia sheria, riziki, afya,kipato nk. life was a mess since adam n eve.
 
Roho yangu haitatulia mpaka imetulia kwa Bwana

Maisha ni mpito tu usiyahangaikie mpaka upate wazimu na mwisho Bwana anakuambia "mpumbavu wee, leo usiku wanaitaka roho yako!!"

Mwombe Bwana akupatie amani katika nafsi yako maana ukiwa na mali nyingi au madaraka na huna amani ni kazi bure.

Usiombe utajiri maana mwisho wa siku utamsahau Mungu, wala usiombe umasikini maana utaiba na kumkosea Mungu. Bali omba mapenzi ya Mungu yatimie katika maisha yako
 
mambo mengi ya namna hii nimejiuliza!!ila hili ni kubwa, ...uendaji wangu wa kanisani wa kusua sua,kama vile naenda kujiburudisha!pombe sinywi,sigara sivuti,kitimoto haramu,milupo najivunga na mengine kibao ninayojivunga kwa sababu ya dini!hujiuliza, hivi nikifa au siku ya mwisho ikifika nikashindwa kuurithi uzima wa milele si itakuwa imekula kwangu!!duniani sijafaidi lolote na mwisho wa siku kwenye moto wa milele!!ikifikia hapo natamani nijiachie kupita kiasi ili nifadi japo sehemu moja!!!
 
Pia ushawahi kujiuliza usawa wa binadamu uko kwenye jambo lipi? Maana binadamu tumetofautiana sana - tumetofautiana rangi, mwonekano, akili, busara, hekima, sauti, hulka, haiba, mahitaji, matakwa, mapenzi, tajiriba, n.k. n.k.

Je, ni kipi ambacho kinatufanya sote tuwe sawa?
dignity
 
mambo mengi ya namna hii nimejiuliza!!ila hili ni kubwa, ...uendaji wangu wa kanisani wa kusua sua,kama vile naenda kujiburudisha!pombe sinywi,sigara sivuti,kitimoto haramu,milupo najivunga na mengine kibao ninayojivunga kwa sababu ya dini!hujiuliza, hivi nikifa au siku ya mwisho ikifika nikashindwa kuurithi uzima wa milele si itakuwa imekula kwangu!!duniani sijafaidi lolote na mwisho wa siku kwenye moto wa milele!!ikifikia hapo natamani nijiachie kupita kiasi ili nifadi japo sehemu moja!!!
:becky:
 
waumini wengi wana peace of mind kuliko wasiamini....

Uuum sidhani kama ni hivyo. Kuna waumini wengi sana ambao nadhani hawana amani na wamekata tamaa na kuamua kuangukia dini ili kupata comfort. Na hiyo dini yenyewe sidhani kama inasaidia lolote kwa sababu kama ni depression wataendelea kuwa nayo tu, kama ni low self esteem wataendelea kuwa nayo tu....

Bottomline religion is not a panacea for anything for if it was then all these problems wouldn't be here. It's just a temporary relief feel good therapy that at the end of the day has no real results.
 
.
In fact hakuna usawa kwa binadamu, ila kuna haki ya ushiriki sawa. Ushiriki sawa kwa maana ya shughuli zote iwe ni za kijamii, kisiasa na au kidini. Mfano Mwanamke na mwanamume maumbile yao yako tofauti na ndio maana huwezi ukawapambanisha katika ulingo wa ngumi m/ke na m/me wenye uzito sawa. Utasababisha machinjo kwa hiyo jinsia ya kike. Ila wote wanaweza kushiriki huo mchezo wa ngumi kwa kuwapambanisha m/ke kwa m/ke mwizie na wanaume hali kadhalika. Tofauti iliyopo pia ktk kuyashiri mapato ya nchi haipo sawa ijapokuwa kuna haki ya ushiriki sawa. Kiongozi anahudumiwa na sehemu kupwa ya pato la nchi tofauti na raia wa kawaida. Sasa raha inapatikana kwa kila mmoja kutambua duara lake na klifurahia pasipo kupindukia mpaka kwa kudhulumu haki ya mwingine. Mume amfurahiye mkewe na mkewe halikadhalika. Ni haki ya baba kuiongoza nyumba yake mwenyewe bila kuingiliwa na yeyote hata kama kuna tofauti kubwa sana za kihali baina yake. Ujumla wa haya yote ni 'kumcha Mungu ndio chanzo cha maarifa' yeye ndio hutoa raha nafsini mwetu.
 
Umeongea jambo la ajabu sana ila let me at my phelosophy. Maisha haya hayana raha kwa tajiri au masikini, kwa maana kuishi kwetu kila siku ni mtihani wa masaa24 nakila siku majibu huifadhiwa kwa usiri mkubwa. Maisha haya nimafupi sana ila nimarefu kwa mwenye dhiki na mafupi kwa mwenye mali, upande wapili baada yakufa maisha nimarefu sana kwa alie mtenda haki na nimarefu mara elfu ktk dhiki kwa mtenda maovu. Kamwe nafsi yangu na roho yangu haijutii ukomo wa maisha haya ikiwa kaz yangu nitaimaliza nakwenda ktk zile pepo za heri. Yes nitakuwa mwenye furaha kwa milele,ila ole kwa yule maisha yake ni kule ktk jehanamu sisemi ila najisikia kulia. Mungu utukumbuke
 
Back
Top Bottom