Serikali ipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi

Pesanyingi

JF-Expert Member
Apr 15, 2023
396
658
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
 
Mkuu pambana. Ajira siyo lazima kuajiriwa. Kesho utapendekeza Kila nafasi ya ajira iwe na watumishi wawili. Mmoja aanze kazi kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 5 asubuhi. Wa pili aanze saa 5 na dakika 1 asubuhi hadi saa 10 jioni. Na Bado suluhu ya ajira/ukosefu wa kazi haitapatikana
 
Mawazo Kama haya ndo yanalikwamisha taifa.

Ili upate Ajira yoyote haimuhitaji MTU kustaafu mapema Ila nikujiboresha ili uwe marketable na serikali kuongeza au kuandaa fursa nyingi.

Kuna WATU ni potential Sana na umri wao ni mkubwa huwezi kumtoa ili akae MTU ambaye hana hiyo potential.

Kanuni za kupata unachokihitaji zipo wazi , wala sio lazima MTU afe au afukuzwe kazi au astaafu na wewe ndo upate .

Ikiwa utaendelea hivi taifa halitikuwa na vijana wenye tija
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Hizi hoja zako, siku uniajiriwa na serikali utakuja kuziona za HIVYOOOOOOOOO.

Usichojua ni kuwa kwasasa serikali Ina wafanyakazi Kama laki 5 tu ,n aimeshindwa kuwahudumia.

Hawalipwi likizo, pesa ya kujikimu, na mishahara au kupanda daraja.

Sasa hivi, wamezidowa na wastaafu, wametengeneza Kikokotoo kandamizi kuliko kawaida.

Pesa zote za wastaafu serikali imepora, kwahiyo wastaafu wanalipwa na michango ya kila mwezi kwa sasa kutoka kwa walioko kazini.

Kwahiyo kadri serikali ikipunguza umri wa kustaafu ujue idadi ya wastaafu itaongezeka, na hivyo serikali itakuwa na mzigo mzito wa kuhudumia watu wasiofanya kazi kupitia pension ya kila mwezi na malipo ya mkupuo.
 
Hawawezi kukubali mzigo wa pensheni
Kwa asilimia kubwa serikali ya kijani unaweza kuongeza umri wa kustaafu na siyo kupunguza.

Hata ukisema mfu astaafu ana miaka 29 ni wewe tu.

Akisha staafu ujue utampa pesa ya mkupuo na malipo ya pension ya kila mwezi. Maana yake utakuwa na lundo kubwa la watu unawalipa ambao hawafanyi kazi.
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Mawazo ya kuzimu kabisa
 
Na haitokaa itokee mpaka kifo chako utasubiri sana mpaka utazeeka utasimulia wajukuu zako
 
Naunga mkono hoja. Na kwa upande wangu ningetamani umri wa kustaafu kwa hiyari uwe ni miaka 50! Halafu kwa mujibu wa sheria, uwe miaka 55.

Na wale wanaostaafu kwa hiyari wakiwa na miaka 50, wasipigwe ile penati kandamizi ya 18 kwenye mafao yao! Watu wakistaafu wapewe mzigo wao wote! Kusiwepo na wachawi wa kuwatunzia kwa lazima, halafu wakawagawia kwa masharti kila mwezi.

Yaani mtu akistaafu, kusiwepo na pensheni ya kila mwezi. Maana atakuwa ameshapewa mzigo wake wote. Hivyo anatakiwa akajiajiri kwenye kilimo, ufugaji, biashara, viwanda vidogo vidogo, nk.

Iwapo mchakato huu utafanyika, naamini utawasaidia, watu watastaafu huku wakiwa na nguvu zao! tofauti na ilivyo sasa. Lakini pia serikali itapata nafasi ya kuajiri maelfu ya wahitimu wanaosubiria ajira miaka nenda.
 
💯
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Ajira za serikali sio kwa kila mtu, ni nafasi chache wanapaswa kupewa wenye weledi wa hali ya juu. Mara nyingi wanaostaafu na miaka 60 ndio kwanza wamekomaa kiweledi na walipaswa kustaafu at 70. Sio unamwona Kikwete ndio kwanza anagombea uenyekiti wa Umoja wa Africa.
 
kwa hiyo unataka wenye miaka zaidi ya 50 tulioko ofcn tuhamie mtaani ee. halafu watoto wetu utahhudumia wewe. hebu shika adabu yako
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Muu umefikiria nje ya boksi. Hata mimi nilikuwa nawaza kitu kama hiki. Watu wasiokuwa na ajira hapa mtaani ni wengi sana. Hakuna haja ya kuumizana kichwa kukaa nje ya ajira wakati kuna watu kibao huku mtaani hawana ajira.
 
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.

Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.

Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.

Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.

Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.
Kwa nini ulichelewa kuzaliwa?Acha kusumbua watumishi wa umma.Kwanza wana sonona ya kikokotoo.Shindwaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom