Umevaaje

Hii inanikumbusha kuna siku kwenye daladala kuna jamaa nasmikia anaongea na simu kwa sauti eti anamuuliza mpenzi wake,
"nipo kwenye daladala ndo narudi nyumbani vipi umepika nini?"
"Unafanya nini?"
"Umevaa chupi rangi gani?"

Kwa kweli alipofika kwenye rangi ya kufuli hakuna aliyeweza kujizuia kwa sisi tuliyekuwa karibu nae, wote tulianza kucheka halafu kama tuliambiana tulicheka wote kwa pamoja.

Kuna watu makauzu sana
 

Khaaa huyo nae alizidi wenzie maswali km hayo wanaulizia vyumbani. Af mi nashindwa kuelewa mtu akijua ulichovaa itamsaidia nini
 
Khaaa huyo nae alizidi wenzie maswali km hayo wanaulizia vyumbani. Af mi nashindwa kuelewa mtu akijua ulichovaa itamsaidia nini
Nafikiri kwa wahusika ni kuonyesha namna gani wanajali, labda kuwe na lingine ambalo mimi na wewe hatulifahamu
 
Kwani rangi ya chupi.... inawasisimua eeeeh... eti wanaume hebu nijuzeniiii
cc utafiti Mr Rocky, kwamtoro, Eli79, kaka km, kibaa, gwijimimi, Asprin, The Boss, Kongosho na wengine wengine
 
Last edited by a moderator:
Rubbish....unajali kwa kuuliza nimevaa nini..!!
Mkuu watu tunatofautiana ndo maana nikasema kwa wahusika(wenye tabia hizo)

Mimi binafsi siwezi uliza swali kama hilo, hebu tuwasubiri wakuu wengine labda wanaweza kuja na mtazamo tofauti
 
Makes me wonder how old you and your callers are.
 
Last edited by a moderator:

Hehehehe hata ukivaa uvaloli furesh tu Sema umevaaje kudadadeki
That's sexy au u r not romantik?hahahaha
 

Besides mambo ya "musingi" ndo yapi hayo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…