Umevaaje

salama kaka
go ahead..tungoje matokeo mazuri

Lakini wifi yako Huyo ana AREJI NA KISUKUMA! Na SISI bila kukandekeja kisukusu Yani Siku inakua haijapita Vzr kabisa!

Anivumilie tu Huyo ram
 
Last edited by a moderator:
afya ina mushkeli paroko..najiskia ovyoo...naombea tu kiwe kitu kingine si dengue asee

Pole sn dada yng!

Kaizer Nakusalimia! Yani unanipita tu hivihivi? Au huo UPENDO unaousema Ni Kwa jinsia tofauti ndio upo? Kwa same gender lol!
 
Last edited by a moderator:
umeona ee..yani mie nakuwa napata tabu kweli..
somo la uvumilivu itabidi limuingie
Lakini wifi yako Huyo ana AREJI NA KISUKUMA! Na SISI bila kukandekeja kisukusu Yani Siku inakua haijapita Vzr kabisa!

Anivumilie tu Huyo ram
 
Pole sn dada yng!
Kaizer Nakusalimia! Yani unanipita tu hivihivi? Au huo UPENDO unaousema Ni Kwa jinsia tofauti ndio upo? Kwa same gender lol!

Ng'wana Nzengo! Tuliho?......huyu mwallu huyu bana....ana upendo wake maalum kabisa ila hauna uhusiano na kukupita maana hata Sara na Ibrahim walipatamo mtoto kwa ukarimu wao wa wageni...si walimwomba yule malaika asiwapite hivi hivi? Na kumbe ikawa bahati...kuna ujumbe ntakupa upeleke Kahama ndugu yangu Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
afya ina mushkeli paroko..najiskia ovyoo...naombea tu kiwe kitu kingine si dengue asee

Unamfahamu daktari wa magonjwa yote na anayefufua wafu? Ni mmoja ty naye ni Yesu atayekuponya na magonjwa yako yote ameen
 
amen...na asinipite,aniponye wakati huu wa ugonjwa na wakati wote
Unamfahamu daktari wa magonjwa yote na anayefufua wafu? Ni mmoja ty naye ni Yesu atayekuponya na magonjwa yako yote ameen
 
Sawa mkulu! Nimeona usinipite hivihivi Ba Mimi niambulue japo mibaraka ya UJUMBE Wa Leo!

KWELI AMRI iliyokuu Ni UPENDO!
 
Last edited by a moderator:
Haaaa haaaaa haaaaa..... kha! mbona ningepasua simu nimtoe

Tatizo aliyekuuliza usiku umevaaje HANA hela so ikaona anakukera tu!

Angekuwa kakuuliza hivyo Ridhiwan ungesema kila kitu tena kama ulivaa under skirt ungedanganya kama umevaa thong tu!

Mhhh hela ahahahahahaah
 
Sawa mkulu! Nimeona usinipite hivihivi Ba Mimi niambulue japo mibaraka ya UJUMBE Wa Leo!

KWELI AMRI iliyokuu Ni UPENDO!

Ahahaha Ntuzu kaikimbia Chelsea yake kule wala haitetei ahahaha!

John Terry agree one year extension!What a pity?
DEMBA umevaaje hapo ulipo?
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkulu! Nimeona usinipite hivihivi Ba Mimi niambulue japo mibaraka ya UJUMBE Wa Leo!

KWELI AMRI iliyokuu Ni UPENDO!

Mpende pia JIRANI yako kama nafsi yako mwenyewe...

Cc mwallu
 
Last edited by a moderator:
Ahahaha Ntuzu kaikimbia Chelsea yake kule wala haitetei ahahaha!

John Terry agree one year extension!What a pity?
DEMBA umevaaje hapo ulipo?

Hivi toka walipopigwa na ATM hajageukia.pande zile mkuu?
DEMBA apa alipo hajaamka so.u can just imagine kama amevaa au hajavaa... Ntuzu fukuzeni morinyo
 
Last edited by a moderator:
Tatizo aliyekuuliza usiku umevaaje HANA hela so ikaona anakukera tu!

Angekuwa kakuuliza hivyo Ridhiwan ungesema kila kitu tena kama ulivaa under skirt ungedanganya kama umevaa thong tu!

Mhhh hela ahahahahahaah

Hahahaa mkuu apo umepiga chini ya mkanda hahahaaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Aku! mi nimpe namba namjua...! jitu sijui linatoa wapi namba yangu

Bibie punguza hasira;

Endapo kama humfahamu huwezi elewa huenda mwenzio anakufahamu sasa usije baki mdomo wazi siku mkikutana na wewe ndio umeshamwaga maneno yoooooooote!!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…