Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,505
- 34,247
[emoji23][emoji23][emoji23] unafanya mchezo na kwa dizongaSiku hizi vyakula hapost kutufundisha [emoji23][emoji23]
ππππ Nyumba yetu.π€£π€£π€£π€£Unaleta utemi kwenye nyumba ya watu?
Hope ashapokeaKuna kitu anakitafuta we muache πππ
Antonnia ndo alomwambia sir midabwada atafute mill 100 ndo wakae mezani wajadiliane πππJamaa mjanja sana hajataka maneno mengi kamtangulizia antonnia mil 100, kazi kwa antonnia kuikubali au kuikataa[emoji23][emoji23]
Shem bado!! Yupo kuzogoa tu hapa ππHope ashapokea
Umeona hio buti ukajua ni mwalimu tu huyuπππMkuu samahani! We ni mwalimu?
Tutakaribia baba Ahsante sana!!π
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji πππ
Jpili church ibada ya kwanza ππππ€£π€£π€£
Yesu nisamehe
Mil 100 anayo au ndio anaenda kuitafuta??[emoji23][emoji23][emoji23]Antonnia ndo alomwambia sir midabwada atafute mill 100 ndo wakae mezani wajadiliane [emoji23][emoji23][emoji23]
Lasivyo asimsumbue [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi mtoto mdogo yuleππππ€£π€£π€£π€£ imekula kwako
Mshamba atakucheka
Tayana I miss u mama mchungaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yesu nisamehe
Ila Kwa kuwa ni mwenyeji yafungulie tu hayatakua makali kwakeShem bado!! Yupo kuzogoa tu hapa ππ
Mimi najiandaa kufungulia mbwa nifunge mageti nilale!!
Pokea simu kwanza niko serious ujue πππMil 100 anayo au ndio anaenda kuitafuta??[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen,πππ Nabii anajiweza, kachafuka pesa.
Hategemei sadaka za waumini
Kakataaa kbs ila ni mwalimu huyo yupo temeke anafundisha English age 26Umeona hio buti ukajua ni mwalimu tu huyuπππ
Walimu badilisheni mapigo watu wasiwakariri
Wanakuja baba sema wanaonekana mambo ya kidunia yamewatawala sana πAmen,
ni kweli na hakika, Mungu Atosha...
Sadaka ni muda na utayari wako wa kumpokea bwana kuwa mokozi wa maisha yako. Ile ingine ni ziada, hiari na uamuzi yako...