Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,708
- 51,121
ššSijui hata nacheka Nini!Bado nipo bed wakuu
ššSijui hata nacheka Nini!Bado nipo bed wakuu
Yammy,!limewahi sana kuiva!Sina nguo ya kupost ngoja nipost pilau tuu
KaribuniView attachment 2818554
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenyooka.Sina nguo ya kupost ngoja nipost pilau tuu
KaribuniView attachment 2818554
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpishi hajabania nyama zimependezesha pilau.Sina nguo ya kupost ngoja nipost pilau tuu
KaribuniView attachment 2818554
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wangu HahahhaWakuu tuliovaa ndomu tunaruhusiwa kupost humu kuwaringishia?!![]()
Siku nyingine apunguze mchele aongeze nyama.
Siku nyingine apunguze mchele aongeze nyama.


Tlaa tlaa yule atanijia na wimbo ulio bora š¤£Mi sijui jina lake sijui tlaahtilaah sijui nani?
Hiking day..
View attachment 2818579
Ha ha ha haha![]()
Tlaa tlaa yule atanijia na wimbo ulio bora š¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£Utasikia"Nishibisheni zabibu,niburudisheni kwa mapera,Kwa maana nimezimia Kwa Mapenzi"Tlaa tlaa yule atanijia na wimbo ulio bora š¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£Robo ya maonjo muhimu sana aisee!
Utakuwa ni mpenzi wa nyama wewe ukiwa unapika inafaa uongezewe robo ya kula jikoni.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Shemeji inabidi afuge mifugoRobo ya maonjo muhimu sana aisee!
Tatizo wafugaji wanawaonaga mifugo kama watoto wao,wanawaonea huruma kuwachinjašBora akanunue tu buchani