Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

G ananitoa ktk udaku na ufukunyuku ujue.
Mda wote ananiweka buzzy, bas had watu wananishangaa mbona nimepoa sana, wallah nifanye kuchachukaa kupoa sio shda zangu kabisaa.
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
G akuache kwanza

Unapitwa Shozzz

Nashangaa hata zile za nyuma unalialia tu
Tulioshuhudia picha lote tunakutazama tu,,,shida husalimii wakubwa ati🤣🤣
 
G akuache kwanza

Unapitwa Shozzz

Nashangaa hata zile za nyuma unalialia tu
Tulioshuhudia picha lote tunakutazama tu,,,shida husalimii wakubwa ati
kuna shost angu alinambia "wee shoga huyo mwanaume amekuja kukubadilisha muenendo, muangalie vzur, atakufanya uwe zezeta na upoe haswaa"

Sahiv G aniache kwa kweli, yaan napitwa na ma ubuyuu had siamini km ndo mie eti.

Nafikia hatua umbea nauliza kwa watu?
Hapanaa hii haiwezekan.
 
Kweli umekuwa zezeta shoz weeh
KhaaaahšŸ˜†
Hatujakuzea hivyoooh
Wewe ndo wa kulialia umbea hauujui kweli!
Mikoba aliyokukabidhi Warumi unapwaya sasa šŸ˜‚
 
ba553c6c32c9bb279f1745e0d57416d4.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom