Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Fungua Uzi usawazishe Coca
Tunakusubiri
Nataka ndani ya uzi wa selfika, kwa hili, naenda 1 kwa 1 kwa mello, awaambie modes wafungue uzii, ili na mie nisawazishee vituu.

modes kwann waoga sana, kila likija suala mie kufungukaaa wanani zuia, aaaah
 
Punguza ukorofi mjukuu
 
yaliyopita si ndwele
Ganga yajayo tu
ila nyie nimechekaa, nlivyokuta kufuli tyuuh, nkasema tayarii modes wameshaamua kunizuiaa,

Afu nilijua pekee angu tyuuh nimezuiwa ku comment, nkaona comments zimefutwaa, nkasema ushafungwaa huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom