DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,002
- 29,453
Sio Yeye 🤣🤣🤣😂😂😂😂 Ndio
Sio Yeye 🤣🤣🤣😂😂😂😂 Ndio
Mimi naomba niwe muhasibu nishawahi 😂😂😂Harusii tunayooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mfumo wa vyeo ulibadilishwa muda mrefu sanaSio bhna kwani na yeye ni Brigedia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usikatae ni wewe 😂😂😂Sio Yeye 🤣🤣🤣
Yes, mambo ya code huwa yanasumbus tu akili pasipo sababu[emoji23][emoji23]Shemeji hutaki ubuyu nusu nusu Wala code kitu kiwe live[emoji23][emoji23]
Lamomy
😂😂😂Siku hiz Kuna kigoma cha Uruguai wanaita nasikia unasutwa huku unafurahi 😂😂😂😂😂😂😂 Kusutwa sunna wifi
Ntakupasua 😂😂😂😂Ntakufumua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwaogopi hata waje na ben bati la Agrey nawasubiri 😂😂😂😂😂😂😂Siku hiz Kuna kigoma cha Uruguai wanaita nasikia unasutwa huku unafurahi 😂😂😂
Kweli Lakini kuumizana akili tu😃😃Yes, mambo ya code huwa yanasumbus tu akili pasipo sababu[emoji23][emoji23]
Sio muda mrefu ni kama Miaka 7 Hivi au nane ilopitaHuu mfumo wa vyeo ulibadilishwa muda mrefu sana
Kababaa aongeze chakula tafadhali,upunguze uroho wa vitu vingine😅Nimekula viazi vya kuchemsha leo, hapa nasubiri ugali na kumbikumbi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃Wee subirSiwaogopi hata waje na ben bati la Agrey nawasubiri 😂😂😂😂
Natoka na panga nawatimua wote
Mimi wadudu wa ajabu ajabu sili, samaki zenyewe baadhi sili nina kinyaaKweli kabisa
Miaka 8 sio muda mrefu?Sio muda mrefu ni kama Miaka 7 Hivi au nane ilopita
Hii tabia anayo lamomy na cocastic [emoji23]Kweli Lakini kuumizana akili tu[emoji2][emoji2]
😂😂😂😂 nawafungulia mbwa wakacheze nao kigoma😃😃😃Wee subir
Miaka Nane mkuu si juzi tu hapa 2015...Miaka 8 sio muda mrefu?
Watu ni waroho tuMimi wadudu wa ajabu ajabu sili, samaki zenyewe baadhi sili nina kinyaa