Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,564
🤣🤣🤣Unavyojua kujitetea 😂😂😂
Umeyakoroga unatishia kujinyonga?! Kufwaaaa
🤣🤣🤣Unavyojua kujitetea 😂😂😂
Umeyakoroga unatishia kujinyonga?! Kufwaaaa
Sijaelewa,inamaana gani hiyo ?Hamna chalii ya R wote tunapendana kinouma nouma 😂😂😂
Hahahaaaaa 😂😂😂 upelekwe msanga chole samvula. Uwe mkwe wa kingwenduSitaki
Sidanganyiki😀
😂😂😂 Si uende matombo!!Naomba uchawi basi kidogo,kuna binadamu wananisumbua akili.
Ile ajali kidogo tu lakini nahisi nimerogwa🤣
😂😂😂 mfyuuu!!Sijaelewa,inamaana gani hiyo ?
Mimi mshamba kaka yako 😅
Ena mwafilombe 😂😂😂
loli 😂😂Twakumyenu nkamu gwangu😂😂
Nimekataaaa😀😀😀🤣🤣🤣🤣 umegoma
🤣🤣🤣Aah wapi nimekataaaHahahaaaaa 😂😂😂 upelekwe msanga chole samvula. Uwe mkwe wa kingwendu
Ila Gang niliyokuwa nayo ilikiwa inanipa pressure.😂😂😂 Si uende matombo!!
Wewe ulipewa chaka na wajukuu wa Abood unashindwa kufanyia kazi.
Serious...😂😂😂 mfyuuu!!
Sema unataka nikazie hapo kwa chugaman.
Oyoooooo!!! Watu na Jux wenu 😂😂😂Nimekataaaa😀😀😀
Namsubiri jux arudi hewani
Naona hayuko online
Nawe ulizidi ubabe na kutaka kula gabacholi kimasihara 😂😂😂Ila Gang niliyokuwa nayo ilikiwa inanipa pressure.
"Hey zungu,uko matombo wanaenda watu kuchukua uchawi sana"
"Hata hawa wanaenda huko kwa ajili ya buses zao ili watoe kafara"
🤣
Hakika ile miaka ilikuwa ni ujinga🙌
Msalimie shemeji yangu wa utotoni mr "Y", makazi yake Dubai kwa sasa...
Bora usielewe hivo hivo 🤣🤣Serious...
Sikuwa nimeeelwa ila nimepata majibu,sipendi aibu ndogondogo zinioneshe mimi mshamba ndio maana sikutaka kuweza wazi wapi sikuelewa.🤣
Eeh ndiooooOyoooooo!!! Watu na Jux wenu 😂😂😂
Hii imeenda aiseee
😂😂😂😂 HatareeeeEeh ndioooo
Dr.adams faida popote ulipo 🤣🤣
Mzee patel aliniambia nitakuwa jambazi🤣🙌, baada ya issue ya mwisho nzito kudhamiria kuifanya,nilipewa kichapo nikawa mwekundu na chozi halitoki.Nawe ulizidi ubabe na kutaka kula gabacholi kimasihara 😂😂😂
Sema walikutisha wala harogei matombo, Yule uchawi wake anausafiria kwa kina Okwonkwo Legoo uko na Malawi
Naona unataka niachike sasa!! Y ndio nani?! 😂😂
Hao ni wale madogo wawili wa SUA waliofia kwenye mgogoro wa Israel & GazaBibi sijui kawatoa wapi mahandsome hao?!
Halafu hajaweka maelezo, katurusha roho na wajukuu zake 😂😂😂
Sisikii la Azana wala nn🤣🤣😂😂😂😂 Hatareeee
Kweli umeamua!! Husikii lolote kwa Jux
😔😢JmnHao ni wale madogo wawili wa SUA waliofia kwenye mgogoro wa Israel & Gaza