Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,540
- 95,126
Inawezekana 😂😂😂Kwahyo kaka yako timbulo?
Inawezekana 😂😂😂Kwahyo kaka yako timbulo?
Leo nimebahatika kumuona @ Mshana Jr au macho yangu hayako sawa? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Eee ndio 😂😂😂Hahahaha nimecheka kinoma! Dada mshenzi sana wewe!
Kwamba katika roho…… tunayaweza yote!
Mimi mkinga nikatafute dawa uluguruni?! Dawa zote zilizojaa Makete?! E’m nitake radhi bro 😂😂😂🤣🤣
Imani yangu ikanijenga wote wanaopafahamu huko wachawi,
Hukwenda kutafuta dawa kweli huko?🤣
Njoo huku Samonge kwa babu tunachoma dhahabu upate gram za urembo wewe.😂😂😂 Tajiri kumbe mzaramo!! Tulijimix shouga!! Bora ubanane kwa Jux 😜
😂😂😂😂 Sawa tajiri nakujaNjoo huku
Njoo huku Samonge kwa babu tunachoma dhahabu upate gram za urembo wewe.
Kamati ya roho mbaya tu😂😂😂😜 Tayana-wog khanga yako umeiona?!
Huyu mumeo mswahili, umeyakanyaga utachambwa had ukome 😂😂😂
😂😂😂😂 Sawa taji
😂😂😂😂 Tatizo tajiri maneno mengi, shouga angu mpk ngashtuka anatapeliwaKamati ya roho mbaya tu😂😂😂
😂😂😂😂 Tatizo tajiri maneno mengi, shouga angu mpk ngashtuka anatapeliwa
Mimi bday niiotoe wapi?! Hata tarehe niliyozaliwa sikumbuki!! 😂😂😂Ulisema akaunti nikuwekee ile 01J..... au ile 022..... kwa ajili ya bday yako?
Hapo kwanza ncheke 🤣🤣🤣🤣Mwambie atulie atumie hii hela ninayotafutia huku migodini 😂🏃♂️
Tafuteni wa kutumia nao. Lingeni njoo na mr wakouliyemkimbia😂😂Mimi bday niiotoe wapi?! Hata tarehe niliyozaliwa sikumbuki!! 😂😂😂
Bday ya Tayana anazaliwa pamoja na Jesus.
Wewe muwekee pesa ya cake, kwangu utume ya vinywaji 😜
Basi nampa kadi na passwordHapo kwanza ncheke 🤣🤣🤣🤣
Sema tu nimekamatika.Inawezekana 😂😂😂
ngoja fifi bae atupie kwanzamshamba_hachekwi shem tupia!!
Si ulikuwa unalalamika hupendwi? Haya sasa kazi kwako 😂😂😂😂
Eeeh !umeshinda mama country 🙌😅Mimi mkinga nikatafute dawa uluguruni?! Dawa zote zilizojaa Makete?! E’m nitake radhi bro 😂😂😂
😂😂😂😂 Unalo babu limekuganda👌Tafuteni wa kutumia nao. Lingeni njoo na mr wakouliyemkimbia😂😂